Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Chumvi? Nasikia chumvi inaweza mletea mtu nuksi mbaya sana hapo kwenye kuogea ...mshana Jr tufafanulie hapaOgea chumvi, muombe Mungu sana.
Hivyo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chumvi? Nasikia chumvi inaweza mletea mtu nuksi mbaya sana hapo kwenye kuogea ...mshana Jr tufafanulie hapaOgea chumvi, muombe Mungu sana.
Hivyo tu
Huyo ni Yeye Yule Yule.Wewe unamwamni Yesu au Mungu?
Kwani wakati Samia anakuwa rais makamu wa rais alikuwa nani?Kwahiyo wakati anazaliwa huyo unayemuita mungu DUNIA na sayari nyingine alikuwa anaongoza nani?
Au kuna waziri mkuu?
Chumvi? Nasikia chumvi inaweza mletea mtu nuksi mbaya sana ...mshana Jr tufafanulie hapa
Sio kweli chumvi ni tiba bora sana kwenye ishu za kirohoChumvi? Nasikia chumvi inaweza mletea mtu nuksi mbaya sana hapo kwenye kuogea ...mshana Jr tufafanulie hapa
Angeweza kujiokoa mwenyewe kwanza.Usihangaike na "waosha nyota" wa dunia hii ambao wanakwenda kuichafua au kuiba kabisa nyota yako! Safisha nyota yako kwa Damu ya Yesu Kristo. Ukiwa unaoga chukua maji na jimwagie huku ukisema, Nasafisha nyota yangu kwa Damu ya Yesu Kristo. Rudia angalau mara 3, fanya hivyo kila wakati, sema; Nasafisha mwili wangu, roho na nafsi kwa Damu ya Yesu Kristo... Nasafisha maisha yangu kwa Damu ya Yesu Kristo, naondoa kila wakati wote wa kichawi na kiganga dhidi yangu, kazi yangu, familia yangu, mali zangu, etc. . Kama una imani utaona mambo yako yatakuwa sawa na mikosi itaondoka. Endelea kuchapa kazi manake mafanikio katika KAZI NA SALA!
Kwasababu hivyo ulivyovisema wanavifanya na kuviona laivu ..sio hio damu ya kufikirikaMbona mnakwenda kwa waganga wa kienyeji kuoshwa na kula mavi ya waganga na maji ya maiti mnakunywa inakuwaje wewe kushindwa kuona ni fahari kuonshwa na Damu ya Mwana wa Mungu Yesu Kristo?!
Alitabiri na kuongelea kifo chake kwamba hakina budi kutokea na kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu. Mbona nyie wanawake mnakubali kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu si mngeweza kukataa (kujiokoa) wenyewe?!!Angeweza kujiokoa mwenyewe kwanza.
Haya ni mambo ya kiroho.Kwasababu hivyo ulivyovisema wanavifanya na kuviona laivu ..sio hio damu ya kufikirika
Kama huna imani je ?Usihangaike na "waosha nyota" wa dunia hii ambao wanakwenda kuichafua au kuiba kabisa nyota yako! Safisha nyota yako kwa Damu ya Yesu Kristo. Ukiwa unaoga chukua maji na jimwagie huku ukisema, Nasafisha nyota yangu kwa Damu ya Yesu Kristo. Rudia angalau mara 3, fanya hivyo kila wakati, sema; Nasafisha mwili wangu, roho na nafsi kwa Damu ya Yesu Kristo... Nasafisha maisha yangu kwa Damu ya Yesu Kristo, naondoa uharibifu wote wa kichawi na kiganga dhidi yangu, kazi yangu, familia yangu, mali zangu, etc. Sema mara nyingi kila wakati. Kama una imani utaona mambo yako yatakuwa sawa na mikosi itaondoka. Endelea kuchapa kazi manake mafanikio ni KAZI NA SALA!
Na wao wamefata hayo.......ukiamini wewe inatosha......na mambo ya kiroho kila mtu ana njia zake sio mambo ya kucopy na kupasteHaya ni mambo ya kiroho.
La ajabu ni kwamba Jina la Yesu kinaweza kutenda maajabu hata likitajwa na mtu asiyeamini! Mfano wale watu watendao kazi za giza na Lucifer wakitaja Jina la Yesu kuzimu yote huanguka magotini wakisujudu na lucifer ndio kabisa hutupwa chini vibaya. Ukiwa na imani ndio bab kubwa!Kama huna imani je ?
Ndio lakini uwe kwenye mambo ya kiroho ya MWANGA na sio ya GIZA. Wengi hawajui ukweli na uzuri wa Yesu hata wakristo wengi mno hawana habari wapo nusu nusu. Ukielewa na kuishika kweli ya Yesu ni raha sana.Na wao wamefata hayo.......ukiamini wewe inatosha......na mambo ya kiroho kila mtu ana njia zake sio mambo ya kucopy na kupaste
Sasa ukishakua na hela hvo yann kuosha hyo nyota yenyewTafuta hela kwanza maana nyota hazioshwi kwa laki ama nusu milion
Utapigwa na kitu kizito brazaWakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Mgonjwa hachagui dawa ukiona anachagua jua haumwiAm not a Christian. Thank you
Mwanga au giza inategemea na matendo........shida kwa waamini yesu kila jambo wanaloona kama hatajwi yesu basi washamaliza kua ni la gizaNdio lakini uwe kwenye mambo ya kiroho ya MWANGA na sio ya GIZA. Wengi hawajui ukweli na uzuri wa Yesu hata wakristo wengi mno hawana habari wapo nusu nusu. Ukielewa na kuishika kweli ya Yesu ni raha sana.
Nyota zina madaraja..inategemea unataka daraja ganiSasa ukishakua na hela hvo yann kuosha hyo nyota yenyew
Wapo wataalam dunia hii ina maajab mkuu.Utatapeliwa wewe.....nakuhurumia utatapeliwa wewe...
ACHA kabisa issue hizi.
NYOTA siku zote huwa inaendana na TAA yako pamoja na TABIA yako.
Hayupo mtaalamu wa kusafisha vyote hivyo isipokua MUNGU pekee .