Mtalaamu wa nyota

Mtalaamu wa nyota

Wakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Kama tangu mwaka 2019 hujafanikiwa tu jaribu na upande wa nuru
 
Kwani wakati Samia anakuwa rais makamu wa rais alikuwa nani?
Kwahiyo Mungu kaacha uumbaji wake na ukuu wake alafu aje kudharaulika kwa viumbe alivyobiumba kweli?
 
Exactly ndivyo alivyofanya! Mungu sio Athmani au sivyo? Na alidharaulika kabisa na hata kuuwawa (Kimwili) na viumbe vyake. Ujue Mungu hafi, yeye ni Roho na huishi milele, na ndivyo alivyo Yesu Kristo, anaishi milele Mbinguni.
 
Msalabani alitamka maneno gani huyo Yesu mungu wako?
 
Asante mkuu japo naona hii mada imeingiliwa na habari za damu damu za Yesu siku hizi sichangii sana kwa maana naona nafundisha watu kuona ambao ni vipofu na kusikia ambayo ni viziwi na kusema ambao ni mabubu kwa hivyo sipendelei sana kuchangia makala za hivi kwa maana wengi wa wachangiaji ni watu wa imani fulani ambayo na imani yao hawaijui vema ila nitachukua nafasi hii kumjibu kwa heshima yako kutaka kusikia neno langu;

IPO HIVI:
Uko atakapoenda kutaka kusafishwa nyota aende na backup ya mambo yafuatayo;
  • Ahakikishe kwanza anaemfata anajua vema kuhusu nyota za watu kulingana na imani zao.
  • Ajulikane ana nyota gani na ina tabia gani?
  • Siku nzuri kwake ni zipi na mbaya ni zipi?
  • Asili ya nyota yake ni ipi?
  • Tabia ya nyota yake ni Ipi?
  • Maada ya nyota yake ni Ipi? (Hili ni la kuzingatia zaidi MAJI,UPEPO,MOTO,UDONGO)
  • Nyota yake inang'arishwa kwa mlango upo? (ambao yeye akiona mafanikio ndio atajua nyota imeng'aa
  • Ascendant yake ni Ipi?
  • Descendant yake ni ipi?
  • Sharif yake ni ipi?
  • Nuksi yake ni ipi?
  • Direction yake kinyota ni ipi?
  • Milango yake imekaa vipi?
  • Malaika wa nyota yake ni yupi?
  • Jini wa nyota yake ni yupi?
  • Shetani wa nyota yake ni yupi?
  • Nyota yake kwa muda huo ipo usawa gani?
  • Cusps na decanates zake zipo vipi?
  • Indication ya nyota yake ni ipi?
  • Daraja la mwezi kwa nyota yake ni lipi?
  • Daraja la sayari kwa nyota yake ni lipi?
  • Amjuze alipotoka, alipo na anapokwenda? (Na ziwe acumulate na yeye)
  • Ajue afinity zake?
  • Angles zake ni vipi?
  • Amtajie na thamani ya nyota yake na uwezekano wa kung'aa?
Kama hatokwambia yote haya huyo uliyemfuata basi hawezi kukusafisha nyota zaidi ya kukupa jini au uchawi ambao utakusukuma kwa muda fulani uone mafanikio kisha utaharibikiwa ili urejee tena.

Mtaniwia radhi sihitaji quote ya mtu hapa inayosema udini au damu kuwa maji na maji kuwa damu.

Rakims
 
This is birth chart and astrology. Thank you
 
Your welcome,
Whoever you are going to see then beware of their knowledge capacity on astrology. No one can solve your issue without knowing your rasheed.

Rakims
 
Wakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Salama mkuu je nje na iyo mikoa ?
 
Back
Top Bottom