Matumizi ya mto[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shughuli kweli kweli. Umelipendea nini mkuu? Au ni mfuko wa kuweka zana?
Leo namtetea jaman sasa hapo ubaya wa hilo gauni ni nini mbona kavaa vizur kabisa tena la kwendea ukwenView attachment 668359 Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.
Askari waliokuwepo ofisi za RITA walimtaka Faiza Ally akabadili vazi na kuvaa linalostahili kuvaliwa katika ofisi ya umma. Baada ya mvutano, alijitokeza msamaria aliyemuazima mtandio ambao alivaa na ndipo aliporuhusiwa kuingia ofisini ili kutimiziwa shida iliyompeleka.
Kwenye ofisi za Umma haijalishi we ni mfanyakazi au lah lakini wanataka nguo ivuke magoti.Pia Huwa wanataka mikono iwe imesitiriwa.Ukivaa zile zenye vikamba vya kuning'iniza hupiti getini.Sketi gani sasa hapo? Faiza hajavaa sketi. Mwenyesketi iliyobinuka na kuacha magoti nje ni yule polisi. Shria ya ofisi za uma kwa wafanyakazi wa uma, na si wageni!
Kila mtu anatimiza wajibu wake.Waliomzuia wanatimiza wajibu wao.Ndio kazi inayowapa kulaWamemuonea tu. Ofisi za uma miniskrit kwani haziruhusiwi?
Kwenye ofisi za Umma haijalishi we ni mfanyakazi au lah lakini wanataka nguo ivuke magoti.Pia Huwa wanataka mikono iwe imesitiriwa.Ukivaa zile zenye vikamba vya kuning'iniza hupiti getini.
Huyo sio polisi ni suma jkt hamuoni hata mkandaSketi gani sasa hapo? Faiza hajavaa sketi. Mwenyesketi iliyobinuka na kuacha magoti nje ni yule polisi. Shria ya ofisi za uma kwa wafanyakazi wa uma, na si wageni!
Huyo sio polisi ni suma jkt hamuoni hata mkanda
Huyo sio polisi suma jktHa ha ha! Umenifanya nirudi kucheki skirt ya huyo polisi, hilo pozi lake sasa! mie hoooi!
Ingekuwa polisi wasingefanya hivyo mana ni kumdhalilisha huyo mama.JKT ya suma, haina tofauti ya polisi.
Ingekuwa polisi wasingefanya hivyo mana ni kumdhalilisha huyo mama.
Huyo askari yuko vzr sana ipo sehemu faiza alikosea sio nguo tu,hasingeweza kumzuia maana hata utawara waliwakataza kuwapangia wateja nguo za kuvaa labda uwe mtumishi mle ndani ndio utarudishwa ukabadili.wateja wengi wanaingia na nguo za ajabu ajabu na hawajawai kuzuiliwa hata siku moja IPO tu walipokwazana akaona amkomalie kwenye nguo.Huyo mwenye tumbo.
Ilikuwa transparentNguo ndefu kbsa hyo,mie nlijua kavaa kipensi au ndio kisa kavaa faiza basi imekua nongwa!! Huyo askari hata mie kanikera