Mtalii alalamikia ukosefu wa usalama na uchafu Nairobi

Acha kuongea vitu kisengerenyuma wewe, kuna watu ambao wana umimi na umbea km wabongo..
Mtu akiwa mgeni hko kwenu kazi kumfuatilia wala hamumpi pumzi..
Eti utasikia tena yule ana vibali kweli au raia haramu[emoji1787][emoji1787]

Kenya hakuna mtu ambae ana time na maisha ya watu
Ndio maana mnaendesha nchi kama genge fulani la wahuni
 
Don't compare Kenyans na Tanzanians please. Kenyan men ndiyo wanapenda sana ujinga na kufuatilia maisha ya watu as if they are women
Tungelikua na media za udaku huku basi[emoji1787][emoji1787]
Katika ukanda huu mnaongoza kw udaku ukitaka lia hadi ufe
 
Aggrey mwanri with the famous sukuma dani has seen a major intensive for tourist to tour in ndaganyiass
 
Kwa kweli Kenya yabidi kubadilika....hata watanzania wakienda Kenya wanachukiwa sana na kua harassed. Wao wakija huku Tanzania hatuna matatizo wala time na wao.....wapo tu freely wanakula raha without being harassed.
Labda kama wameanza mwaka jana mimi nimekaa Kenya zaidi ya miaka 20 nilijisikia niko nyumbani sikuwahi kuwa harrased hata siku moja na niliheshimika sana kama mtz. Niko comfortable kuendesha gari Kenya kuliko hata Tz kwa kuwa sikuwahi kusimamishwa na traffic hata siku moja kwa miaka yote niliyokaa Kenya. Ndugu zangu walikuwa wanakuja Nairobi na magari yao hawajawahi kuwa harrased. Lakini mkenya aingie TZ na gari ya number plate ya Kenya harassment zinaanzia longido.
 
Hakuna harassment yyte anayofanyiwa mkenya zaidi ya ukaguzi wa kawaida anaofanyiwa mtu yeyote barabarani, tatizo la wakenya ni kupenda kulialia na kufikiri wao wanachukiwa na majirani zao wote, "Cry baby syndrome".

Hii post yako inaonyesha ni kiasi gani unavyodanganya, Hakuna nchi yoyote hapa duniani unayoweza kuendesha gari hata mwaka mmoja bila kusimamishwa na polisi barabarani kwa ukaguzi wa kawaida, hasa kwa nchi kama Kenya yenye matatizo makubwa ya ujambazi na ugaidi, kama ni kweli hujasimamishwa kwa ajili ya "regular police check",basi Kenya ni nchi ya hovyo sana kiusalama
 
Kwa kweli Kenya yabidi kubadilika....hata watanzania wakienda Kenya wanachukiwa sana na kua harassed. Wao wakija huku Tanzania hatuna matatizo wala time na wao.....wapo tu freely wanakula raha without being harassed.
Hii sio ukweli. Watanzania wanakua harassed vipi? Watanzania wangapi? Au wote wanaokuja Kenya wanakua harassed?
 
I think you are drunk....haya uliyosema ndiyo yanatokea Kenya...here in Tanzania who the hell gives a damn about Kenyans, be honest to yourself.
Toa real evidence kuwa Watanzania wote walio Kenya wanakuwa harassed? Hapa sio vijiweni, Sawa mzee?
 
Don't compare Kenyans na Tanzanians please. Kenyan men ndiyo wanapenda sana ujinga na kufuatilia maisha ya watu as if they are women
Duniani kote hakuna wanaume wanao midomo mikubwa kama wanaume wa bongo. Huwa mnalemea hata wanawake wenu kwenye kupaza sauti na kugombana.
 
Tungelikua na media za udaku huku basi[emoji1787][emoji1787]
Katika ukanda huu mnaongoza kw udaku ukitaka lia hadi ufe
Hawa malazy kwenye udaku ni hatari sana. Wenyewe wanasema kuwa wanaongoza Afrika pale youtube kwenye idadi ya watu wanaotazama video za udaku.
 
Hakuna harassment yyte anayofanyiwa mkenya zaidi ya ukaguzi wa kawaida anaofanyiwa mtu yeyote barabarani, tatizo la wakenya ni kupenda kulialia na kufikiri wao wanachukiwa na majirani zao wote, "Cry baby syndrome".

Hii post yako inaonyesha ni kiasi gani unavyodanganya, Hakuna nchi yoyote hapa duniani unayoweza kuendesha gari hata mwaka mmoja bila kusimamishwa na polisi barabarani kwa ukaguzi wa kawaida, hasa kwa nchi kama Kenya yenye matatizo makubwa ya ujambazi na ugaidi, kama ni kweli hujasimamishwa kwa ajili ya "regular police check",basi Kenya ni nchi ya hovyo sana kiusalama
Tembea hii dunia uone nchi na watu waliostaarabika. Security cameras zipo kila mahali traffic wa kazi gani zaidi ya kupotezea watu muda barabarani. Traffic wanasimamisha magari asubuhi watu wanaenda kujenga uchumi wa nchi unategemea taifa liendrlee vipi?. Halafu wewe kama sio mkenya hujui harassment wanazozipata.
 
Hakuna harassment yyte anayofanyiwa mkenya zaidi ya ukaguzi wa kawaida anaofanyiwa mtu yeyote barabarani, tatizo la wakenya ni kupenda kulialia na kufikiri wao wanachukiwa na majirani zao wote, "Cry baby syndrome".

Hii post yako inaonyesha ni kiasi gani unavyodanganya, Hakuna nchi yoyote hapa duniani unayoweza kuendesha gari hata mwaka mmoja bila kusimamishwa na polisi barabarani kwa ukaguzi wa kawaida, hasa kwa nchi kama Kenya yenye matatizo makubwa ya ujambazi na ugaidi, kama ni kweli hujasimamishwa kwa ajili ya "regular police check",basi Kenya ni nchi ya hovyo sana kiusalama

Mtu unasimamishwa na traffick mara nne kwenye distance ya km 10 halafu unaulizwa maswali yale yale bado tunasafari ndefu sana
 
Unaendelea kudanganya baada ya kugundua tumejua unadanganya, eti miaka 20 bila kusimamishwa na police [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekwambia tembea hii dunia utaona na kujifunza mengi. Nikudanganye ili iweje? Wewe unafikiri ni ufahari kusimamishwa kila saa na traffick? Kuna nchi hata traffick barabarani humuoni.
 
Hawa malazy kwenye udaku ni hatari sana. Wenyewe wanasema kuwa wanaongoza Afrika pale youtube kwenye idadi ya watu wanaotazama video za udaku.
Anga hzo wana mataji tena yenye hadhi kubwa duniani, eti jamaa anakuja kusema kenyan's tunafuatilia maisha ya watu..
Yani ywaona vile wako wao hata sisi tuko hvo
 
Nairobi ndo Base ya machokoraa wote wa Kenya sitoshangaa jiji la Nairobi kunuka kinyesi.
 
Back
Top Bottom