Mtalii alalamikia ukosefu wa usalama na uchafu Nairobi

Labda kama wameanza mwaka jana mimi nimekaa Kenya zaidi ya miaka 20 nilijisikia niko nyumbani sikuwahi kuwa harrased hata siku moja na niliheshimika sana kama mtz. Niko comfortable kuendesha gari Kenya kuliko hata Tz kwa kuwa sikuwahi kusimamishwa na traffic hata siku moja kwa miaka yote niliyokaa Kenya. Ndugu zangu walikuwa wanakuja Nairobi na magari yao hawajawahi kuwa harrased. Lakini mkenya aingie TZ na gari ya number plate ya Kenya harassment zinaanzia longido.
Wewe hujawahi kuishi Kenya, yote uyasemayo hapa hayana uhusiano wowote na hali halisi ya Kenya. Inabidi utafutwe na ukamatwe kwa kusema uwongo.
 
Nidanganye ili iweje? Na niwasifie wakenya ili iweje? Hiyo ni experience yangu toa ya kwako. Kenya nimekaa sana na ninetembea sana mpk vijijini sikuwahi kubaguliwa zaidi ya kuheshimiwa. Kisumu nimekaa nyalenda na milimani. Nimekuwa nikitembelea homabay, kendu bay, nyakwere, kisii etc. Coast nimekaa Nyali, mtwapa, Kilifi, Mariakani na ganze. Central Kenya nimekaa Sagana na kirinyaga. Last Born wangu nimezalia Embu.
 
Nakunuku'Na niwasifie wakenya ili !

Nakunuku! Na niwasifie wakenya ili iweje?
' My last born wangu nimezalia Embu'
Mtwara gas makes you incredibly incoherent.
Your last born is kenyan citizen by birth.

Your last born is a Kenyan citizen.
 
Inategemea kama baba ake ni mkenya. Mtoto hana uraia wa kenya na Kenya nilishatoka.
 
Ni sawa na kuzungumzia Kibera, kamwe huwezi sema Nairobi ni chafu kwa kutumia Kibera kama "point of reference". Huyo anazungumzia maeneo ya CBD na yale ambayo ni "planned areas", ambako kunapaswa kuwepo na miundombinu yote ya usafi, Kibera hata mkokoteni wa kubeba takataka hauwezi fika huko, huwezi kutegemea kuwe kusafi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Husiliweke neno planned pamoja na Dar slum kwenye sentensi moja Wala hamna popote pako planned hapo Tanganyika.
 
This guy is comparing Nairobi to European cities and in that case, he is right. European cities are way more cleaner, beautiful, safer, and developed than Nairobi. It's interesting the people who are ridiculing it have Dar Es Salaam for a city. If this guy had compared Nairobi with any mainland African city outside SA and North Africa, things would be very very different.

The rest, he is just pointing out the potentials Kenya has in tourism and that's a good thing.
 
Nidanganye ili iweje? Na niwasifie wakenya ili iweje? Hiyo ni experience yangu toa ya kwako. Kenya nimekaa sana na ninetembea sana mpk vijijini sikuwahi kubaguliwa zaidi ya kuheshimiwa. Kisumu nimekaa nyalenda na milimani. Nimekuwa nikitembelea homabay, kendu bay, nyakwere, kisii etc. Coast nimekaa Nyali, mtwapa, Kilifi, Mariakani na ganze. Central Kenya nimekaa Sagana na kirinyaga. Last Born wangu nimezalia Embu.
You are a sober-minded, wise woman. Congratulations.
 
Back
Top Bottom