mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Wewe hujawahi kuishi Kenya, yote uyasemayo hapa hayana uhusiano wowote na hali halisi ya Kenya. Inabidi utafutwe na ukamatwe kwa kusema uwongo.Labda kama wameanza mwaka jana mimi nimekaa Kenya zaidi ya miaka 20 nilijisikia niko nyumbani sikuwahi kuwa harrased hata siku moja na niliheshimika sana kama mtz. Niko comfortable kuendesha gari Kenya kuliko hata Tz kwa kuwa sikuwahi kusimamishwa na traffic hata siku moja kwa miaka yote niliyokaa Kenya. Ndugu zangu walikuwa wanakuja Nairobi na magari yao hawajawahi kuwa harrased. Lakini mkenya aingie TZ na gari ya number plate ya Kenya harassment zinaanzia longido.