Mtambo huu ni fursa nyingine kwa wajasiliamali

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
PhotoEditor_20190720_210543603.jpg
PhotoEditor_20190720_210639635.jpg
PhotoEditor_20190720_210924634.jpg
PhotoEditor_20190720_210306803.jpg
PhotoEditor_20190720_204338078.jpg

Katika harakati za kijasiliamali mtambo huu unaweza kuwa tija kwa wajasiliamali.

Mtambo huu umeundwa maalumu kwa ajili ya kuendesha mashine ya kawaida ya kunyolea ambayo inatumika katika ofisi za kunyolea.

Mtambo huu una uwezo wa kubebeka na kusafirishika kirahisi kwasababu una uzito wa kawaida lakini pia unaweza kuficha panel zake za solar na kuzitoa.

Unaweza ukamyajiri kijana au ukakodisha mtambo huu kwasababu umefungwa kifaa kinachosoma matumizi (UNIT za umeme zinazo tumika).Hivyo ni rahisi kufanya makubaliano ya malipo na mtu uliye mwajili au kumkodisha.

Kinyozi anaweza kwenda maeneo ya vijijini na kufanya shughuri yake ya kunyoa katika maeneo yenye mikusanyiko mfano shule,munada,vilabu n.k

Pia mtambo huu unaweza ukatumika kama mbadala wa generator kipindi umeme umekatika uzuri ni kwamba hakuna gharama za ziada kwenye kuiendesha kama ilivyo kwa generator.
 
ulivyosema tu icho kibox kina 6kg nimekitoa maanani kabisa kwa tunaoelewa masuala ya umeme wa solar tunajua storage ndo kila kitu na battery hata za ulimwengu wa kwanza hizi lithium zina uzito wakueleweka sasa hii yako nadhani ni ya kunyolea wakati wa jua pekee.
 
Shukrani
 
Dogo, computer ya Kwanza iliyojengwa kule 'University of Pennsylvania' na kukamilika 1946, ilikuwa na uzito wa tani 50 (50,000kg). Saivi Kuna computer ya kuenea tu kiganjani kwako na ikafanya makubwa mara elfu zaidi ya Ile ya kwanza. Teknolojia inapaa Kila siku!
 
Mifano ya comp usiibebe kama ilivyo ukaleta kwenye masuala ya battery. ninachokizungumza nakielewa ndo maana yeyote mwenye kuelewa issue za storage ya umeme wa solar anaelewa. ningeshare na wewe baadhi picha za battery ambazo ni latest kabisa kweny mambo ya solar ila sipo home kwa sasa. then ungejionea ukubwa wake na ningekupa details kbsa nadhani ungeelewa.
 
Acha ubishi usiokuwa na hela,Huyo bwana anakuelewesha kwamba teknlojia inabadilika we umekalia ukubwa wa batery ulizo nazo sasa hivi.
 
Back
Top Bottom