Mtambo wa magoli waaga yanga, mashabiki watokwa na machozi

Mtambo wa magoli waaga yanga, mashabiki watokwa na machozi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ule mtambo wa mabao toka Burundi uliowapagawisha wana yanga ulipowasili nchini na kupokewa na rundo la mashabiki umeaga rasmi na kuacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa team hiyo inayokamata nafasi ya 74 kwa ubora barani afrika ikiwa nyuma kidogo ya namungo ambayo inakamata nafasi ya 60.

Hizi ni mojawapo ya nyuzi za wana jf waliokuwa very excited na ujio wa nguli huyo wa soka toka nchini Burundi.

- Fiston Abdoul Razak: Kheri nusu shari kuliko shari kamili. haikua bahati tu, bali ni neema ya siku ya jumapili ya tarehe 5 ya september 1993

Huku wengine wakisema jamaa ni mkali kulimo Mohamed Salah

- Je, striker mpya wa Yanga Fiston Abdul Razaq ni bora kuliko Mo Salah?

Hapa akiwa anapokelewa na mashabiki wa yanga wakiongozwa na bingwa wa usajili afrika mashariki na kati engineer hersi
Capture.PNG
 
Mbumbumbu bwana vipi yule jamaa aliyewapeleka fifa mliemtema?
Vipi kina maguli mliwapatia wapi?

Na bondia mugalu nae?
utopolo stages zao ni kama dejavu yaani..SHANGILIA USAJILI..NENDA AIRPORT KUPOKEA...LIGI INAANZA SHINDA MECHI TATU NI SHANGWE TUUU..SARE ZIKIANZA LAWAMA TFF..BAADAYE LAWAMA WACHEZAJI FUKUZA KOCHA..BAADAYE SUBIRINI JAMANI KIKOSI HAKIJAUNGANIKA HAKUNA CHEMISTRY....BAADAYE...... NEXT YEAR USE THE SAME TEMPLATE ITS A CYCLE
 
Hao ndo Utopolo sasa,a.k.a mazezeta.
 
utopolo stages zao ni kama dejavu yaani..SHANGILIA USAJILI..NENDA AIRPORT KUPOKEA...LIGI INAANZA SHINDA MECHI TATU NI SHANGWE TUUU..SARE ZIKIANZA LAWAMA TFF..BAADAYE LAWAMA WACHEZAJI FUKUZA KOCHA..BAADAYE SUBIRINI JAMANI KIKOSI HAKIJAUNGANIKA HAKUNA CHEMISTRY....BAADAYE...... NEXT YEAR USE THE SAME TEMPLATE ITS A CYCLE
Kweli nyani haoni kundule aseeh
Nyie majuzi tu mlikuwaga mnawalalmikia tff then mnaenda mpka kwa kina kitenge eti anawahujumu

Hawa ndio mbumbumbu bwana
 
Mbumbumbu bwana vipi yule jamaa aliyewapeleka fifa mliemtema?
Vipi kina maguli mliwapatia wapi?

Na bondia mugalu nae?
Unamlinganisha Mugalu na Fiston🥺🥺🥺

Waafrika tunakuaga na ubishi wakijinga?

Huyu Fiston alipewa sifa zilizopitiliza,sijui Kama ilikuwa ni mpango was Waandishi was haabari kuuza habari au ni Yanga waliamua kuwapotosha mashabiki wao.

Sijui kwa mini hatujifunzi ...Moira wa Afrika umebadilka saaana ,Wala viwango havitofautiani Tena!Hivi karibuni Simba imetuonesha mfano.

Imewatoa Mabingwa wa Nigeria ,Zimbabwe,ikawafunga Vita👍Ahly,ElMerwikh ,Kaiser Chief kitu ambacho Miaka 5 iliyopita ilikuwa n ngumu mno.

Wakati wa Champions League Simba ilikuwa inaingiza wachezaji kwenye kikosi Bora...Chama,Louis,Lwanga, Onyango,Wawa,na wazawa Mohamed Husein ,Boko,Maanula na Kapombe.

Kwa hatua hii Ligi yetu inaboreka mdogomdogo...kwa hiyo ili ulete mchezaji awe bora ni lazima awe na viwango vya juu .Mchezaji anayesugua benchi Kaizer Chief ,au Ràja akija hapa ni wa kawaida tu.

Ndio hao kina Fiston .
 
Unamlinganisha Mugalu na Fiston🥺🥺🥺
Waafrika tunakuaga na ubishi wakijinga ?!
Huyu Fiston alipewa sifa zilizopitiliza,sijui Kama ilikuwa ni mpango was Waandishi was haabari kuuza habari au ni Yanga waliamua kuwapotosha mashabiki wao!
Sijui kwa mini hatujifunzi ...Moira wa Afrika umebadilka saaana ,Wala viwango havitofautiani Tena!Hivi karibuni Simba imetuonesha mfano
Imewatoa Mabingwa wa Nigeria ,Zimbabwe,ikawafunga Vita👍Ahly,ElMerwikh ,Kaiser Chief kitu ambacho Miaka 5 iliyopita ilikuwa n ngumu mno!
Wakati wa Champions League Simba ilikuwa inaingiza wachezaji kwenye kikosi Bora...Chama,Louis,Lwanga, Onyango,Wawa,na wazawa Mohamed Husein ,Boko,Maanula na Kapombe!
Kwa hatua hii Ligi yetu inaboreka mdogomdogo...kwa hiyo ili ulete mchezaji awe bora ni lazima awe na viwango vya juu .Mchezaji anayesugua benchi Kaizer Chief ,au Ràja akija hapa ni wa kawaida tu!
Ndio hao kina Fiston !
naongelea maguli vipi mlimtoa wapi?

Sasa mugalu na maguli wana tofauti gani
 
Mbumbumbu bwana vipi yule jamaa aliyewapeleka fifa mliemtema?
Vipi kina maguli mliwapatia wapi?

Na bondia mugalu nae?
Yaani hata Mugalu unamsema, basi ujui mpira, Mugalu anagoli 10 ambazo hakuna mfungaji wa Yanga anazo, na ni wa NNE kwa wafungaji bora, afu unamsema eti. Utopolo kweli ni jina lililochelewa sana kupewa nyie
 
Swala sio goli kumi, anacheza nafasi gani? Hakuna kitu hapo mmepigwa mbumbumbu mtu hata team yao ya taifa hawamjui
 
Ule mtambo wa mabao toka Burundi uliowapagawisha wana yanga ulipowasili nchini na kupokewa na rundo la mashabiki umeaga rasmi na kuacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa team hiyo inayokamata nafasi ya 74 kwa ubora barani afrika ikiwa nyuma kidogo ya namungo ambayo inakamata nafasi ya 60.

Hizi ni mojawapo ya nyuzi za wana jf waliokuwa very excited na ujio wa nguli huyo wa soka toka nchini Burundi.

- Fiston Abdoul Razak: Kheri nusu shari kuliko shari kamili. haikua bahati tu, bali ni neema ya siku ya jumapili ya tarehe 5 ya september 1993

Huku wengine wakisema jamaa ni mkali kulimo Mohamed Salah

- Je, striker mpya wa Yanga Fiston Abdul Razaq ni bora kuliko Mo Salah?

Hapa akiwa anapokelewa na mashabiki wa yanga wakiongozwa na bingwa wa usajili afrika mashariki na kati engineer hersi
View attachment 1815624
D272D045-1606-4FDE-AD1B-9BC4209BE67C.jpeg

hii picha tulikomeshwa nayo...
🤣🤣🤣🤣
 
Yanga YAOBOMOA KAISER CHIEFS.....
Dah, waandishi wa tz wanajua kicheza na akili za utopolo.
282E6546-28C6-4803-84ED-E5E069C8DE7B.jpeg
 
Yanga YAOBOMOA KAISER CHIEFS.....
Dah, waandishi wa tz wanajua kicheza na akili za utopolo.View attachment 1816427
hii ni kwa miaka 4 sasa hawa jamaa mambo yao ni hivihivi ,baada ya hapo mapokezi airport baada ya hapo furaha ya muda baada ya hapo malalamiko kwa karia na tff,then fukuzafukuza ya kocha then watasema wapeni muda tunafuta muunganiko....then tusubiri mwakani same shit
 
Back
Top Bottom