Mtambo wa magoli waaga yanga, mashabiki watokwa na machozi

Mtambo wa magoli waaga yanga, mashabiki watokwa na machozi

,
Yaani hata Mugalu unamsema, basi ujui mpira, Mugalu anagoli 10 ambazo hakuna mfungaji wa Yanga anazo, na ni wa NNE kwa wafungaji bora, afu unamsema eti. Utopolo kweli ni jina lililochelewa sana kupewa nyie
Hahaha!!! Hawa jamaa kweli vituko. Anamsema striker ana goli kumi.
 
Back
Top Bottom