Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Ahsante kwa kunialika kaka Revocatus Kashaga, but am sorry kwa timu yako.
KILA LA KHERI COASTAL UNION.
KILA LA KHERI COASTAL UNION.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu muwabahatishe wagosi wa kaya goli lenu la kwa babu......mnachonga sana.......dawa yenu ipo jikoni inachemka.......
Mimi nadhani kuliko kuchangia uzi wa taahira kama hili lisilojielewa ni heri ukaanzishwa mwingine na mdau. Maana lengo la nyuzi kama hizi ni live update na kamwe sio kupotosha ukweli halafu hata pale mtu anapoelimishwa hataki kukubali ujinga wake.
Hapo ndipo ninapomkubali Makoye Matale kuwa ni mshabiki wa soka kweli. Mtu kama Makoye Matale kwenye ukweli anasimamia ukweli na kwenye makosa amekuwa akikubaki na hata kurekebisha taarifa za shabiki wa Yanga wenzake.
Lakini hawa wote wanaomsapoti huyu youngsharo hata nyuzi zao nyingi humu JF zinaonesha ni kwa kiasi gani ni wachanga wa soka na wakurupukaji tu.
Ahsante kwa kunialika kaka Revocatus Kashaga, but am sorry kwa timu yako.
KILA LA KHERI COASTAL UNION.
Tunahitaji sapoti yako Leo ushindi Ni muhimu Sana kwetu