MTANANGE Simba V/S Coastal Union direct report

Status
Not open for further replies.
Revo ninachowapendea mkijua timu inauzka mnakuwa najeuri kwelii loh!!haya ntaiangalia kama azam watapenda
 
Mimi nadhani kuliko kuchangia uzi wa taahira kama hili lisilojielewa ni heri ukaanzishwa mwingine na mdau. Maana lengo la nyuzi kama hizi ni live update na kamwe sio kupotosha ukweli halafu hata pale mtu anapoelimishwa hataki kukubali ujinga wake.
Hapo ndipo ninapomkubali Makoye Matale kuwa ni mshabiki wa soka kweli. Mtu kama Makoye Matale kwenye ukweli anasimamia ukweli na kwenye makosa amekuwa akikubaki na hata kurekebisha taarifa za shabiki wa Yanga wenzake.

Lakini hawa wote wanaomsapoti huyu youngsharo hata nyuzi zao nyingi humu JF zinaonesha ni kwa kiasi gani ni wachanga wa soka na wakurupukaji tu.

Ni Heri Tahira mwenye macho kuliko Chizi Kipofu,
Kwani Hapo live update zinashindwa kuingia?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani kuliko kuchangia uzi wa taahira kama hili lisilojielewa ni heri ukaanzishwa mwingine na mdau. Maana lengo la nyuzi kama hizi ni live update na kamwe sio kupotosha ukweli halafu hata pale mtu anapoelimishwa hataki kukubali ujinga wake.
Hapo ndipo ninapomkubali Makoye Matale kuwa ni mshabiki wa soka kweli. Mtu kama Makoye Matale kwenye ukweli anasimamia ukweli na kwenye makosa amekuwa akikubaki na hata kurekebisha taarifa za shabiki wa Yanga wenzake.

Lakini hawa wote wanaomsapoti huyu youngsharo hata nyuzi zao nyingi humu JF zinaonesha ni kwa kiasi gani ni wachanga wa soka na wakurupukaji tu.

Haya kaangalie uzi wa mkia mwenzio Revocatus Kashaga mbona na yeye kaandika Simba Vs Coastal Union umekaa kimya? kwenye title ndo yupo right lkn kwenye habari.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom