Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Hahaha
 
Halafu kocha anafanya nini mpaka sasa? Hata sub moja? Ina maana makosa yote haya hayaoni?

Seriously nimekasirika mno, ingekuwa Yanga ndio inacheza leo ningepata hasara ya TV.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi simba siwalaum, shida ipo tff kwa kina kiria na wenzake inatakiwa revolution ya uongozi ndipo tutapata vilabu imara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivo hawa waarabu ni professional wanacheza mpira mpaka mtu unajisikia raha...pasi za uhakika, wakipata nafasi hawapotezi kizembe..hadi raha kuwaangalia..hapa nakesha sababu ya kushuudia hiki kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…