Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Hapana mkuu mimi nashangilia tu .... huwaga nafurahi pindi hizi timu zote mbili (simba na yanga) .... kwa sababu wana miaka mingi kwenye hii tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu ...lakini wameshindwa kuwapatia mashabiki wao kile ambacho wana stahiki ....... binafsi sinaga uzalendo na vitu vibovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
Halafu kocha anafanya nini mpaka sasa? Hata sub moja? Ina maana makosa yote haya hayaoni?

Seriously nimekasirika mno, ingekuwa Yanga ndio inacheza leo ningepata hasara ya TV.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi simba siwalaum, shida ipo tff kwa kina kiria na wenzake inatakiwa revolution ya uongozi ndipo tutapata vilabu imara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka mpira kati
IMG_20190202_230011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivo hawa waarabu ni professional wanacheza mpira mpaka mtu unajisikia raha...pasi za uhakika, wakipata nafasi hawapotezi kizembe..hadi raha kuwaangalia..hapa nakesha sababu ya kushuudia hiki kipigo
 
Back
Top Bottom