Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Nasikia Chanel ya supersport 4 itaonesha hii game live,ni ya kweli hayaa,??
 
Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe.
Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii.
Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki.
Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia uwanjani.
Leo lazima mwarabu apigwe,hakuna namna.
Kweli hili kundi simba ni underdogs haswa. Js Soura pamoja na kwamba wamafungwa na Vita huko kinshasa dk ya 90 ni 2-1, ila Vita watalala na viatu ni ishara kuwa simba akienda kwa waarab kuna kapu la magoli lingine.
 
Ukicheza kwa reference nami nitakuuliza mbona walipokuja Taifa hawakutulaza na viatu km ambavyo wanacheza uko ugenini vs As vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eheeee makubwa
Js soura wameshapata point yao ya ugenini ingawa walidroo na ahly kwao ila wana nafasi kubwa kuwa wa pili maana chances ni kubwa mechi 2 za vita na simba kwao wanaweza shinda kwa goli nzuri tu. Hawa waarab sio wabaya kama watu walivyodhani.
 
Ukicheza kwa reference nami nitakuuliza mbona walipokuja Taifa hawakutulaza na viatu km ambavyo wanacheza uko ugenini vs As vita

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza sema simba walikuwa on form na wao walikuwa off form, the table has been flipped unfortunately at a very crucial time.
Mimi nimejiseti kisaikolojia, sina wasiwasi na kipigo chochote cha leo. Ila kama simba watqshinda au kudroo watakuwa wamenisapraizi.
 
Js soura wameshapata point yao ya ugenini ingawa walidroo na ahly kwao ila wana nafasi kubwa kuwa wa pili maana chances ni kubwa mechi 2 za vita na simba kwao wanaweza shinda kwa goli nzuri tu. Hawa waarab sio wabaya kama watu walivyodhani.
Kwa kweli nimeshangaa
 
Wafungwe tu hawa Simba.
Masuala ya mpira hasa bilabu hayana utaifa.
Unaweza kuwashangilia Simba , wakishinda wanakuja kuwatukana washabiki wa Yanga.
Mpira umekwisha 6-0 anayebisha anyooshe mkono
 
Back
Top Bottom