Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Kweli hili kundi simba ni underdogs haswa. Js Soura pamoja na kwamba wamafungwa na Vita huko kinshasa dk ya 90 ni 2-1, ila Vita watalala na viatu ni ishara kuwa simba akienda kwa waarab kuna kapu la magoli lingine.
Mechi ya Simba dhidi ya JS Saoura iliyochezwa pale mchina, laiti kama ingelichezwa mida ya saa moja moja hivi usiku, nadhani tungekuwa tunaongea mengine kwasasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe.
Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii.
Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki.
Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia uwanjani.
Leo lazima mwarabu apigwe,hakuna namna.
Ushauri:
- Wachezaji wa simba wajitahidi wakishikwa makalio wasipaniki watulie tu maana red card nje nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi simba ila tuweke uhalisia, simba haiwezi ifunga al ahly, hata droo. Leo tuepuke aibu tusipigwe zaidi ya mkono.
Yan ww umeongea uahalisia inaoneka unafatilia mpira practically

[emoji375][emoji375]
 
Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe.
Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii.
Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki.
Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia uwanjani.
Leo lazima mwarabu apigwe,hakuna namna.
Simba itashinda kwa tofauti ya goli moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafungwe tu hawa Simba.
Masuala ya mpira hasa bilabu hayana utaifa.
Unaweza kuwashangilia Simba , wakishinda wanakuja kuwatukana washabiki wa Yanga.
Mpira umekwisha 6-0 anayebisha anyooshe mkono
Kabisa yan vilabu havina utaifa.

[emoji375][emoji375]
 
Yaani mikia mkalale mapemaaaaa, magoli mtakayo fungwa leo ni kama mechi ya netball, tisa mtungi!!!!!!!
 
Back
Top Bottom