Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Yeye kocha wa yanga mambo ya simba yanamuhusu nini? Sijawahi kumsikia Guardiola akizungumzia mechi la Liverpool ambazo hazimuhusu huu ni upumbavu.
.
Huyu mkongo anataka kujifanya anajua sana kila kitu kuchangisha pesa yeye, uafisa habari yeye, utunza hazina yeye pumbavu
Ndio maana anaitwa Papaa Zahera na sio Guardiola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20190203_000637_395.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapigwa 5-0
Huu ni utundulisu uliotukaka.
Aibu tupu.
 
Kwakwel kupigwa ,5 naona kama simba tumeshinda maana nilijua tunapigwa 12 inamaana Mkude ndo alikua anachomesha au afu kuna muda niliona anacheka tulipofungwa goli la 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom