Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Afu kwa mpira ule wa simba wanakuja kuwafunga yanga eti! Kama sio uchawi ni nini? Yaani ingekua stendi wanacheza na al ahaly mechi ingeisha suluhu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua matokeo ya mechi kwa wale waliongalia
Ila mpaka sasa timu ya pekee ya Tanzania kuisumbua mabingwa wa Afrika wa kihistoria kwao kwenye uwanja wa Cairo ni Yanga afrika
 
Yanga ina rekodi ya bao 9 na timu ya morocco na Al ahary 6 nani katia aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hii
IMG-20190203-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom