thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo Yanga vs Al ahly 1982 , Yanga ilifungwa 6-1 Yanga tena 1984 ilifungwa 4-0 Watu wa records mkuu
Simba hana ubavu wa kumfunga al ahly, jamaa kipindi cha pili walicheza wakiwa gia namba moja.Kikosi kipana na cha mabilioni. Tumefungwa ila ni kwa mbinde mno, watakuja tu hapa kwa mchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ni wastaarabu lasivyo wangekula 7-10Wana roho mbaya waarabu bora mkongo
Pole mkuu 5x2=.?Acha kiherehere dogo
😁😁😁
Hivi mkuu Job ****** ni tarehe ngapi amehitakika mbele ya mahakama?Pole mkuu 5x2=.?
Nenda kaulize jukwaa la siasaHivi mkuu Job ****** ni tarehe ngapi amehitakika mbele ya mahakama?
Uzalendo wa nn? Yaani kuishabikia timu bovu
Utaifa mbele .... kwa Mara ya kwanza
Ahly italizwa kwao na mbele ya halaiki ya waMisri !!
SIMBA. Nakuombea Dua'a ushinde!!