Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mwaka juzi tu mlipigwa pia
FB_IMG_1549160243540.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna timu hapa, timu zinajipanga mwaka hadi mwaka sisi tunaokota wachezaji wa bure tunasajili.
Timu zetu zitabaki kuwa bora hapa bongo kama hatutaweka nguvu kubwa kwenye usajili.
Mechi tatu za makundi timu imeshafungwa goli 10 warudi tu bongo waendelee na ligi yao ya magumashi huko hakuwafahi hao wapenda starehe.
 
Je Manara kachangia kipigo cha Simba? Waweza sema mzee wa pafyumu Manara kwa kuwajaza majigambo wachezaji triple C, MK 14, Okwi na wengine na kuwabwetesha kuwa wao sawa na wale wa Mazembe matokeo yake walikuwa na morali ya bandia kwa sifa za mzee wa Pafyumu Haji Manara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alexendria ni bard kama makambako wakija hap tuwachezeshe saa 9 hawa au saa 8 kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na ninyi si mngeenda Makambako au Njombe kujiandaa hali ya hewa yao? Wenzenu baada ya mechi wana kwenda kwenye jimbo au nchi yenye joto kujiandaa na mechi dhidi yenu.
Halafu kule Congo kulikuwa na hali gani ya hewa?
 
Je Manara kachangia kipigo cha Simba? Waweza sema mzee wa pafyumu Manara kwa kuwajaza majigambo wachezaji triple C, MK 14, Okwi na wengine na kuwabwetesha kuwa wao sawa na wale wa Mazembe matokeo yake walikuwa na morali ya bandia kwa sifa za mzee wa Pafyumu Haji Manara!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kachangiaje hicho kipigo wakati yeye hakuwemo uwanjani. Wachezaji wao hawakucheza mpira wa kufundishwa. Wamecheza alimradi liende. Ila du wamevunja rekodi ya kufungwa tano kipindi cha kwanza haijawahi tokea tangu tupate uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nidhamu mbovu kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja.
simɓa tuna uswahili sana, wachezaji wetu hawako profesional

wachezaji wanapata mishahara mizuri ila wenye uchungu na jezi ni wachache
 
Mashabiki wa simɓa ƙwa team tuliƴonaƴo tusijipe moƴo wa ƙifiƙa popote tena

Hatua ƴa maƙundi ni hatua ndogo ila ƙwetu ni mafanikio

uhalisia unatuamɓia hatuwezi ƙwenda zaidi ƴa hapa kutokana na team tuliƴonaƴo, simɓa inawachezaji wengi wapumɓafu kuliko ƙipindi chechote
 
Simba ina foreigners wangapi walioanza mechi hii? Ukisema mpira wa bongo bado sana maana yake hata hao wageni wanachezea simba ni watz ambao uwezo wao upo chini sana[emoji39][emoji39][emoji39]
Poleni wana simba, poleni Tanzania.
Mkuu ni kweli katika hii game wameanza watanzania watatu,, hii inamaanisha kocha ameona hao ndo wenye uwezo wa kuanza first eleven, lakini ukiangalia performance ya hizi club zetu mpaka timu ya taifa unaona bado kabisaa tuna safari ndefu,, sijui kama viongozi wetu wanavision Na wanachukulia hizi changamoto kama funzo kuanzia mfumo mzima wa ukuzaji vipaji na suala Zima la usajili wa wachezaji foreigners ili kuendana na mahitaji ya club na aina ya mashindano wanayoshiriki.
 
Simba ikiongozwa na ushabiki ujinga wa yule mzungu.
Nafikiri sasa ni wakati muhimu atulie na atimize majukumu yake ya habari na sio kipiga domo.
Kweli kabisaa Mkuu,, hatuna professionalism kuna muda mtu anaongea vitu mpaka unajiuliza huyu mtu anaelewa wajibu wake kweli,, vitu haviangaliwi kiuhalisia kila mmoja anaangalia maslahi yake.
 
Back
Top Bottom