Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Umeongea vitu vya msingi sana kaka, muwekezaji anapenda timu ifanye vizuri tatizo lipo Kwa wasaidizi wake sifikirii kama wanavision aliyonayo yeye,,kuna vitu haviko sawa sifa wanazopewa hawa wachezaji foreigners na uwezo walionao ni vitu viwili tofauti,, kwenye usajili kuna uhuni Mo anafanyiwa,
Hakika mkuu, haiwezekani uchukue mchezaji Kama zana coulibaly wakati batambuze yupo
 
Wanasajili wachezaji waliokuja kutengeneza barabara huku alafu tuespect kushinda games

Hahaaa we can't be Serious my fellows
Simba wajipange upya na waachane kabisa na mchezo wa kuokoteza wachezaji.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa sasa professional ni mmoja tuu Chama lkn nae kamezwa na wajinga wengi SHWAIN KABISA SIMBA
 
Mara nyingine tulikosoa uchezaji wa Wawa huyu mtu alitakiwa awe anakula pensheni akili na mwili wake haviendani gyani hana hadhi ya kuja kucheza Kama pro mabadiriko anayofanya kocha hayana macho mzamiru sijui kampa nn Kama Simba wangecheza Kama Okwi kushambulia na kukaba wasingepata kipigo cha aibu
 
Plan za kuiimarisha simba labda tumpe Mo five years kwa sasa hmna kitu pale. Tumejaza wachezaji wengi wala mishahara wasio na tija kwa Timu.
 
Mwalimu Aussems huenda ameshindwa kujua mapungufu ya beki yake.
Beki za pembeni zinamgharimu sana na beki za kati zimezubaa sana kiasi cha kufungwa magoli ya kizembe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hili lakusajili kwa kuokoteza linatugharimu sana ila Jana simba first half walicheza kwa hofu tu ndiyo maana walifungwa kirahisi vile
Wanasajili wachezaji waliokuja kutengeneza barabara huku alafu tuespect kushinda games

Hahaaa we can't be Serious my fellows
Simba wajipange upya na waachane kabisa na mchezo wa kuokoteza wachezaji.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa sasa professional ni mmoja tuu Chama lkn nae kamezwa na wajinga wengi SHWAIN KABISA SIMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ulitaka manara atoe sifa gani..ulitaka aseme simba ni dhaifu....arsenal na barcelona wamewahi fungwa ngapi nyingi katika mechi mbili????...alafu nyi jiandaeni na mechi zenu kesho mnacheza na kina alikiba...huku hakuwahusu mnamiaka ishirini mmeishia kukuona kwenye tv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha bwana mwaka wa 2 huu mnashiriki kimataifa mnajiona mmefiika, wakati miaka 6 mfululizo hamjaonekana kwenye tv yanga na azam tunawaburuza tu,
Kama wakongo na wamisri wanawapiga tanotano sijui hao barca na mancity mngepigwa ngapi, kwa uchache tu 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA HIYO UNATAKA KUTUAMINISHA KUWA NA YANGA IMEFUNGWA LEO? HUU NI MCHEZO, NA SIMBA NDIO KAPIGWA 5 ZA PUA SASA UNALETA BRA BRA HAPA KWA KUBADILISHA MSIBA KUWA WA KITAIFA!

Sisi wana Yanga hatuwezi mcheka simba wote tupo level moja. Hata timu yetu ya Taifa. Sio bra bra ni ukweli unaouma. Ligi yetu iwe professional na si amateur kama ilivyo sasa
 
Back
Top Bottom