Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Na kwa taarifa wachezaj tisa wa kikos cha kwanza wa al ahly hawakuwepo .walikua majeruhi..mechi ya marudiano watakuwepo taifa.........kwani mkirusha taulo uwanjani mtapungukiwa nini ?
 
Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe.

Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii.

Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki.

Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia uwanjani.

Leo lazima mwarabu apigwe,hakuna namna.
=====

UPDATES

View attachment 1011779


Al Ahly SC 1 - 0 Simba SC
A. Al-Sulaya 3'

HT
View attachment 1012000


FT
View attachment 1012001
Sisi kudundwa ndio zetu ila tuna kelele kama Chura😀
 
Simba hawana pumzi ya kuhimili mpira wa kasi.
Al-Ahly wangeweza kuifunga Simba hata goli kumi kama wangeamua kufanya hivyo.
Simba badala ya kujifunza mpira wa kasi mazoezini wao wanapoteza muda mwingi kujinyoosha kwenye vitaulo kama vile hawaendagi Jim.
Kocha wa Simba inaonekana hana uwezo wa kuongeza kasi ya wachezaji.
Simba jifunzeni mpira wa kasi na sio kila siku kutegemea mazoezi ya Viungo.
Mmegeuka kuwa Club ya Mazoezi ya Viungo na sio ya mpira tena.
Uwezo wa Aussen ndio umeishia hapo.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha bwana mwaka wa 2 huu mnashiriki kimataifa mnajiona mmefiika, wakati miaka 6 mfululizo hamjaonekana kwenye tv yanga na azam tunawaburuza tu,
Kama wakongo na wamisri wanawapiga tanotano sijui hao barca na mancity mngepigwa ngapi, kwa uchache tu 20

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo miaka sita mfululizo ambayo sisi hatujaonekana kwenye tv mlifika wapi..mmewahi kufika hii hatua aliyofika simba???
 
Back
Top Bottom