Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

"Tano Sifuri, Tano Bila, Tano yai, Tano kwa sahani aaa! mnyamaa ,mwanyama mwaka huu mumetudhalilisha kinyama"
Watanzania ni bora tujikite kwenye Kilimo huu mpira tuwaachie wanaofahamu.
 
Tulia jana umetoka kuwaona ndugu wa mumeo misri tarehe 12 anakuja ukweni kumalizia mahari, harusi itakuwa Algeria, kamati itavunjwa na ndugu wa mumeo wanaoishi kongo ila watakuja hukuhuku tanzania
Hiyo miaka sita mfululizo ambayo sisi hatujaonekana kwenye tv mlifika wapi..mmewahi kufika hii hatua aliyofika simba???
 
Siku zote tumekuwa tukifundishwa kuwa unapopambana na mwanaume mwenzio hata kama ni mdogo mpe heshima kuwa ni mwanaume.
Simba walishindwa kutoa heshima kwa mpinzani wao. Waliamini wapo sawa kwa idadi hivyo watashindana na kushinda. Wakasahau wanapigania pointi. Kama waliweza kujilinda kipindi cha pili na kutoruhusu goli ina maana wangeweza kulinda kipindi cha kwanza basi wangeweza kuambulia chochote.
Kule watu wanacheza kwa malengo na sio chenga, tobo au pasi nyingi.
Pole sana. Ila bado mpo mchezoni kwa kuwa wale wakongo wamesuluhu wangeshinda ningewambia ombeni wiki ya kula viporo ili mwakani mkalipe visasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki n kiburi chasimba tuu kule CAF Kuna fomu huwazipo ukiona game huiwezi au wachezaji wako Jana yake walishinda club unaenda kwenye website ya CAF unalogin unaijaza alafu unasubmit Basi unakuwa umepewa point 0 jamaa wanachukua point 3 na goli 3 sa sijui Simba kwann walishindwa kufanya hvyo
 
Mashabiki wa simɓa ƙwa team tuliƴonaƴo tusijipe moƴo wa ƙifiƙa popote tena

Hatua ƴa maƙundi ni hatua ndogo ila ƙwetu ni mafanikio

uhalisia unatuamɓia hatuwezi ƙwenda zaidi ƴa hapa kutokana na team tuliƴonaƴo, simɓa inawachezaji wengi wapumɓafu kuliko ƙipindi chechote
Duh... Punguzeni hasira watani... Uzalendo kwanza.
 
Wewe uliangalia mpira, au una chuki tu na Manula? Tuambie ni goli gani pale ni kosa la manula? Au angeweza kuzuia. Wale jamaa walikuwa hawapigi tu golini bali walikua wanafunga. Beki hatuna. Period.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli beki zina mapungufu lkn hata kipa nae hayuko vizur kumbuka kipindi chote simba ikifanya vizur golin walikuwepo kina kaseja mwameja kuna muda timu inatakiwa ibebwe na kipa mfano mechi ya yanga na simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia jana umetoka kuwaona ndugu wa mumeo misri tarehe 12 anakuja ukweni kumalizia mahari, harusi itakuwa Algeria, kamati itavunjwa na ndugu wa mumeo wanaoishi kongo ila watakuja hukuhuku tanzania
Wewe mambo yanayoendelea kwenye michuano ambayo unamiaka 20 unaishia kuyaona kwenye tv yanakuhusu nini...hata tukifungwa mia hayakuhusu..we endelea kujiandaa namechi zenu nasikia leo mnacheza na wakina alikiba
 
Back
Top Bottom