Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Huo ni udhaifu wa coach( Nisije tu kuitwa nikajieleze kwa kumdhalilisha). Baada ya mechi ya Simba na Yanga kwenye TPL Mwinyi Zahera alisema wazi kabisa ilibidi wacheze defensively kwa sababu kiufundi Simba walikua ni wazuri sana kuliko wao Yanga
Hapo Zahera alionyesha umahiri wake kama mwalimu kwanza kwa kutambua uwezo wa wapinzani wake na akawaheshimu, halafu pili akatafuta mbinu ya kuhakikisha anapunguza kadri awezavyo idadi ya magoli atakayofungwa au anaondoka na japo point moja na akafanikiwa ingawa alilaumiwa na hata baadhi ya mashabiki wa Yanga eti kwa mchezo mbovu!
Binafsi nilimkubali sana Masoud Djuma kuliko huyu mzungu. Masoud alikua analijua soka letu na wachezaji wake na anafahamu namna ya kupanga timu(I stand to be corrected). Makocha toka Ulaya tunaoleta kufundisha timu zetu maranyingi huwa wa kiwango cha chini sana maana wale wa daraja la juu clubs zetu haziwezi kuwalipa
Ndio maana timu kama za DRC au hata Nigeria huwa na makocha wazawa au angalau wanatoka katika nchi jirani na wao na wanajua historia ya uwezo wa timu wanazoenda kuzifundisha