Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Yale mashindano ya viti maalumu....si mlishindwa huku ndo mana wakakupeleka kule kwenye viti maalumu😂😂😂...na najua unakumbuka vizuri baada ya mechi sita zote mliambulia pointi ngapi
Kwani wewe mwaka jana ulishiriki mashindano gani ya kimataifa?
 
Feb 2, 2019
Alexandria, Egypt

Mubashara : Al Ahly Sc vs Simba Sc
  • Half-time Al Ahly Sc 5 - 0 Simba Sc
  • Final score Al Ahly 5 - 0 Simba Sc


Martin Lasarte, the first coach of Al Ahli Football Club, announced the formation of the team for the match against Tanzania's Simba in the African Champions League.

The
squad includes: Goalkeepers: Mohammed Al Shennawi.

Line of defense: Mohamed Hani, Saad Samir, Ayman Ashraf and Ali Maaloul.

Midfield Amr Al-Sulawiya, Hisham Mohammed, Nasser Maher and Hussein Al-Shahat Karim Nedved.

Offensive: Junior Ajay.

On the bench are Sharif Ikrami, Mahmoud Wahid, Mohammed Sharif, Hussam Ashour, Rami Rabia, Ahmed Hamoudi and Salah Mohsen.
Source : «لاسارتي» يعلن تشكيل الأهلي أمام «سيمبا»


Halafu wanabahati sana wachezaji muhim jana walikuwa majeruhi la sivyo balaa kubwa pale lingewakuta. Makonki master oili chafu hawajacheza RAMADHAN SOBHI, ISLAM MGHABER, WALID SOULIMAN, ABDALLAH EL SAID, ZAKARIYA MUUMIN. daah cjui ingekuwaje 😂😂😂😂😂
 
Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe.

Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii.

Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki.

Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia uwanjani.

Leo lazima mwarabu apigwe,hakuna namna.
=====

UPDATES

View attachment 1011779


Al Ahly SC 1 - 0 Simba SC
A. Al-Sulaya 3'

HT
View attachment 1012000


FT
View attachment 1012001
Mnamaanisha Haji Manara kasoma tano? Au?
 
Mikia match 2 goli 10 tena zingekua 15 km wale al ahly wasingeleta uislam wao kwa kutotaka kuwaongeza zingine 5 kipindi cha pili,halafu wakiitwa underdog povu wanalolitoa si la nchi hii!
 
Amen
ONA MAAJABU HAYA NDANI YA MIAKA 5 ILIYOPITA

Mwaka 2014.
Yanga 1 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 1 - 0 Yanga (Cairo)
(Al Ahly akashinda 5-4 kwa penati)

Mwaka 2016.
Yanga 0 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 2 - 1 Yanga (Cairo)

Mechi nne ;-
Al ahly win 2
Yanga win 1
Sare 1

magoli ya kufunga;-
Al ahly 3
Yanga 2

hiyo inamaanisha katika mechi nne Yanga karuhusu goli 3 tu kwa Al Ahly wakati yeye pia akifunga goli mbili.

RECORD YA UNDERDOG.

Al ahly 5 - 0 Mikia SC

yaani magoli aliyofungwa katika mechi yake moja tu ni Sawa na magoli ya timu zote mbili katika mechi NNE walizocheza tena Al Ahly waliwapumzisha Key Players wao 8 , walimaliza mchezo first half hawakutaka kumaliza nguvu zao kwa Mbumbumbu. . Endapo wangeuwasha moto dk 90 basi underdog wangevunja rekodi ya Club African.

TUNAVYOITWA WA KIMATAIFA TAMBUENI SIO KAZI RAHISI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe mwaka jana ulishiriki mashindano gani ya kimataifa?
Tulishiriki viti maalumu baada ya kutolewa huku alipo simba...ila pointi tulizozipata huku kwenye viti maalumu hatua ya makundi baada ya mechi sita zote mungu anajua😂😂😂😂😂
 
Kumbukumbu zako zinakudanganya...nambie ni mwaka gani Yanga kafanikiwa kuzitoa timu mbili mfululizo...mbona mwaka jana tu kanuni hizihizi ziliwashinda mkaishia kuangukia kule viti maalumu
We mwehu eeeh.. we unadhani pale alipotolewa na Al ahly alikuwa amepiga game ngapi?? Angalia 2014, 2016, 2017 pia angalia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al Ahly is the second most successful club in the world in terms of number of international titles (24) behind Real Madrid (26)
 
KWA SASA SIMBA BADO SANA KUTAMBA BARANI AFRIKA MPAKA KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA. WAPEWE MUDA WATAFANYA MAKUBWA ZAIDI. BARCA MNAYO IONA LEO IMEPITIA MENGI MAGUMU SANA.
SIMBA NI WAZURI NDANI YA ARDHI YA TANZANIA NA KWA WALE WOTE AMBAO WANAJIFUNZA SOKA LA USHINDANI! NILIPOANGALIA GAME YA JANA NILIGUNDUA KITU HIKI HAPA; SIMBA KUANZIA WACHEZAJI MPAKA BENCHI LA UFUNDI KWA 70% HAWANA APROACH YA KUKABILIANA NA TIMU KUBWA WANAPOKUWA UGENINI!

WAKATI SIMBA WANAITOA ZAMALEK PALE MJINI ALEXANDRIA WALIKUWA NA TWALIB HILAL, SIMBA WALIFANIKIWA KIRAHISI KWA SABABU TWALIB ANALIJUA SOKA LA AFRIKA YA KASKAZINI VIZURI KULIKO MZEE JAMES AGREY SIANG'A.

NASEMA SIMBA SIO TIMU YA KUBEZA KISA 5-0, AS ROMA KALAMBWA BAO 7 KWA 1 NA FIORENTINA. VIPI KUHUSU SIMBA? NI MPIRA TU JAMANI
 
We mwehu eeeh.. we unadhani pale alipotolewa na Al ahly alikuwa amepiga game ngapi?? Angalia 2014, 2016, 2017 pia angalia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo uniambie sasa wewe ambae sio mwehu alipiga gemu ngapi na alimtoa nani na nani...hahaah soma hiyoooo
7ca53215b47dabd1840c8f7401cb5f51.jpg
Kumbe simba si wakwanza kupigwa tano hahaaah
 
Back
Top Bottom