jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Mwaka 1998.
Mara moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 1998.
Alipeleka timu kufanya nini kama hali yenyewe ndio hiyo, kocha angetoa tahadhari mapema kuwa jamani kule tunafuata mkono, mashabiki wajipange kisaikolojia. Sio unapigwa baadae ndio unatoa siri.....rudini mpambane na watani wenu Yanga, coastal union, TZ prison na wengine..
Hapana siwezi kuwa na mawazo mengi juu ya kupoteza mchezo dhidi ya Al Ahly,, tumefungwa na timu kubwa Afrika
.
Nazani nusu ya wachezaji wangu hapa Simba hawana uwezo wa kucheza soka la kimataifa
.
Ili ufanikiwe katika mashindano haya ya klabu Bingwa Afrika CAF Champions Leagua hatua ya makundi lazima ufanye usajili wa wachezaji wenye uwezo wa kucheza soka la kimataifa sisi tumefeli hapo
.
Huwezi kucheza na timu kama Al Ahly,, huku wachezaji wako nusu nzima ya kikosi hawana uwezo wa kucheza soka la kimataifa na usifungwe lazima Al Ahly,, watakufunga tu.
.
Alisema kocha mkuu wa Simba Sc Patrick Aussems baada ya mchezo wa jana kumalizika. ( Sport BC )
Usisahu simba nao wana majeruhi watatu ,book,nyoni ,kapombeHalafu wanabahati sana wachezaji muhim jana walikuwa majeruhi la sivyo balaa kubwa pale lingewakuta. Makonki master oili chafu hawajacheza RAMADHAN SOBHI, ISLAM MGHABER, WALID SOULIMAN, ABDALLAH EL SAID, ZAKARIYA MUUMIN. daah cjui ingekuwaje 😂😂😂😂😂
😁😁😁Mbona kuna taarifa zimetoka kuwa half time al ahly wakiwa dressing room walipenyezewa kimemo kuwa mmiliki wa simba pia ni mwarabu hivyo wasimwaibishe.
Viganja tu
😂😂😂😂😂Simba Leo itaishtua Africa kwa ushindi mujarabu kabisa
Al Alhy 2 Simba 4
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 noma sanaSimba muache kabisa kidomodomo chenu!
simba 0 v recletivo libolo 1 (dar)
recletivo libolo 4 v simba 0 (angola)
simba 2 el hadood 1 (dar)
el hadood 5 v simba 1 (cairo)
wydad casablanca 3 v simba 0 (tunis)
Ngoja nije ni update rekodi zenu, kutwa kuwasema Yanga mwaka jana, ooh tungekuwa sisi kiboko ya kimataifa.
What a shame..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole
😀😀😀😀Duh, hizi shida sasa.
Hata hatujapumua!
Hahaaaa. Kuumbeeee.Taarifa za hivi punde zinasema half time AL AHLY kwenye dressing room walipenyezewa taarifa kuwa chanzo cha mto nile ambao unategemewa sana kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji misri ni Ziwa victoria ambalo lipo Tz kwa asilimia kubwa , walivyopata taarifa hyo wakalalamika wachezaji wakasema wangejua mapema wasiwapiga Khamsa wakaamua kurelax kpnd cha pilli
Kabisa hiyo ilikiwa salama yao vinganja viwili vilikuwa vinawahusuHahaaaa. Kuumbeeee.
Bila hivyo wangezioga goli.
Pole sana. Muje Muwafanyie hivyo hivyo. 😂😂😂Simba pakini tu Lori la mchanga Waarabu watakuja kukutana kiama cha 34° huku na tutawafanyia figisu la kucheza saa 7 mchana
Hamna timu pale, acha kubabaika.MPIRA UNACHEZWA NDANI YA UWANJA, TUACHE KUWALAUMU SIMBA AU KUWAONA HAWAJUI! WALICHOFANYA NDIYO UWEZO WAO TU! ILA HIKI NI KIPINDI CHA MPITONTU! SIMBA PESA ZIPO ILA BADO HAKUNA VIONGOZI NA WACHEZAJI WA VIWANGO VYA KIMATAIFA, WAPO WACHACHE SANA! HAUWEZI KUTWAA TAJI LA KLABU BINGWA AFRIKA KAMA HAUNA WACHEZAJI WA VIWANGO VYA KIMATAIFA.. MNAIKUMBUKA TP MAZEMBE YA SAMATA?
SIMBA INA WACHEZAJI WANGAPI WANAOLINGANA NA WALE WA AL AHLY? UNAWEZA KUFUNGWA NA YEYOTE TU HAIJALISHI UNA WACHEZAJI WA AINA GANI. MSIMU WA 2017/2018 LA LIGA; BARCA ALICHAPWA 5-4 NA LEVANTE; SEVILA KACHAPWA 6: 1 NA BARCA QUARTER FINAL COPER DELAY ; 2018/2019; REAL MADRID KACHAPWA 5-1 NA BARCA! SERIE A; ROMA KACHAPWA 7-1 NA FIORENTINA; 2016/17 UCL; PSG KACHAPWA 6-1 NA BARCA;
MPIRA UNADUNDA NDANI YA UWANJA WADAU WA SOKA; KUBALINI KUBALINI KUWA SIMBA NI TIMU KATIKA TANZANIA HAKUNA TIMU KAMA SIMBA HAPA; KUNA WACHEZAJI WA KILA AINA PALE ILA HAKUNA ORGANIZATION IMARA YA WACHEZAJI KATIKA MFUMO