Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe matokeo mkuuMnatabiri vitu vya ajabu nyie....
Mechi tatu za makundi timu imeshafungwa goli 10 warudi tu bongo waendelee na ligi yao ya magumashi huko hakuwafahi hao wapenda starehe.Hatuna timu hapa, timu zinajipanga mwaka hadi mwaka sisi tunaokota wachezaji wa bure tunasajili.
Timu zetu zitabaki kuwa bora hapa bongo kama hatutaweka nguvu kubwa kwenye usajili.
Nidhamu mbovu kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja.
Sasa goli 5 bila na goli 2 kwa 1 nani alipata aibu uko?
Kavurugwa huyo. Hajui kuwa anajivua nguo.Sasa goli 5 bila na goli 2 kwa 1 nani alipata aibu uko?
Wacha urongo we we mzee was Gwara Gwara.Yanga ina rekodi ya bao 9 na timu ya morocco na Al ahary 6 nani katia aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na ninyi si mngeenda Makambako au Njombe kujiandaa hali ya hewa yao? Wenzenu baada ya mechi wana kwenda kwenye jimbo au nchi yenye joto kujiandaa na mechi dhidi yenu.Alexendria ni bard kama makambako wakija hap tuwachezeshe saa 9 hawa au saa 8 kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kachangiaje hicho kipigo wakati yeye hakuwemo uwanjani. Wachezaji wao hawakucheza mpira wa kufundishwa. Wamecheza alimradi liende. Ila du wamevunja rekodi ya kufungwa tano kipindi cha kwanza haijawahi tokea tangu tupate uhuru.Je Manara kachangia kipigo cha Simba? Waweza sema mzee wa pafyumu Manara kwa kuwajaza majigambo wachezaji triple C, MK 14, Okwi na wengine na kuwabwetesha kuwa wao sawa na wale wa Mazembe matokeo yake walikuwa na morali ya bandia kwa sifa za mzee wa Pafyumu Haji Manara!
Sent using Jamii Forums mobile app
simɓa tuna uswahili sana, wachezaji wetu hawako profesionalNidhamu mbovu kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja.
Kama sio msiba wako hapa kwenye msiba unatafuta nini au mchawi weweKWA HIYO UNATAKA KUTUAMINISHA KUWA NA YANGA IMEFUNGWA LEO? HUU NI MCHEZO, NA SIMBA NDIO KAPIGWA 5 ZA PUA SASA UNALETA BRA BRA HAPA KWA KUBADILISHA MSIBA KUWA WA KITAIFA!
Mkuu ni kweli katika hii game wameanza watanzania watatu,, hii inamaanisha kocha ameona hao ndo wenye uwezo wa kuanza first eleven, lakini ukiangalia performance ya hizi club zetu mpaka timu ya taifa unaona bado kabisaa tuna safari ndefu,, sijui kama viongozi wetu wanavision Na wanachukulia hizi changamoto kama funzo kuanzia mfumo mzima wa ukuzaji vipaji na suala Zima la usajili wa wachezaji foreigners ili kuendana na mahitaji ya club na aina ya mashindano wanayoshiriki.Simba ina foreigners wangapi walioanza mechi hii? Ukisema mpira wa bongo bado sana maana yake hata hao wageni wanachezea simba ni watz ambao uwezo wao upo chini sana[emoji39][emoji39][emoji39]
Poleni wana simba, poleni Tanzania.
Kweli kabisaa Mkuu,, hatuna professionalism kuna muda mtu anaongea vitu mpaka unajiuliza huyu mtu anaelewa wajibu wake kweli,, vitu haviangaliwi kiuhalisia kila mmoja anaangalia maslahi yake.Simba ikiongozwa na ushabiki ujinga wa yule mzungu.
Nafikiri sasa ni wakati muhimu atulie na atimize majukumu yake ya habari na sio kipiga domo.
Timu zetu zinacheza mpira magazetini....Bgojea usome Mwanaspoti waakavyoandika ndipo utajua magazeti ya Tanzania yanaua mpira nchiniUtaifa mbele .... kwa Mara ya kwanza
Ahly italizwa kwao na mbele ya halaiki ya waMisri !!
SIMBA. Nakuombea Dua'a ushinde!!