supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Cha ajabu ni kufungwa bao tano within 40minKwani simba kufungwa tano nini cha ajabu,hao waarabu walogongwa 8goals na TP Mazembe nao watasemaje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana anaitwa Papaa Zahera na sio GuardiolaYeye kocha wa yanga mambo ya simba yanamuhusu nini? Sijawahi kumsikia Guardiola akizungumzia mechi la Liverpool ambazo hazimuhusu huu ni upumbavu.
.
Huyu mkongo anataka kujifanya anajua sana kila kitu kuchangisha pesa yeye, uafisa habari yeye, utunza hazina yeye pumbavu
Kawaida mkuu kiukweli jamaa wanaujua mpira na wana quality players na sio quantity
Mlifika hatua gani ya kukumbukwa na wapenda sokaYanga ya Kimataifa ilikua vizuri kuliko simba sc kabisaa hilo halina ubishi
Kawaida yetuPoleni sana watani zangu.
-kipindi cha pili simba mmecheza mpira safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile 6 - 0 mlizofungwa na Casablanca ilikuwa netball au
Kumbe ni ligi kuu ya klabu bingwa ya AFRICA?
Hakuna mpira game iliisha kipindi cha kwanza, ball possession Warabu wana71Poleni sana watani zangu.
-kipindi cha pili simba mmecheza mpira safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira burudan namna hiiMkuu ni utani,,,,,,,,,hata nao walipokuwa wanapatwa na haya yanayotupata tuliwatania sana.........ni sehemu ya kuondolewa stress za maisha....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira umeingiliwa mpaka na mabeki 3 kama uyuSimba hawana malinda , mazembe walishayatatua , mwarabu kala tigo kiulaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hicho yanga ilikua maskini, kwa simba hii ya kikosi cha bei mbaya na kipana mnakula hamsa kweli?Zile 6 - 0 mlizofungwa na Casablanca ilikuwa netball au
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Wabongo hamuishiwi manenoJamaa waliridhika hawakutaka kuongeza aibu ingawa uwezo walikuwa nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuniambia kwann hakukuwa na goli hata moja kupindi cha pili.Hakuna mpira game iliisha kipindi cha kwanza, ball possession Warabu wana71
Sent using Jamii Forums mobile app