Mechi ya Simba dhidi ya JS Saoura iliyochezwa pale mchina, laiti kama ingelichezwa mida ya saa moja moja hivi usiku, nadhani tungekuwa tunaongea mengine kwasasa.Kweli hili kundi simba ni underdogs haswa. Js Soura pamoja na kwamba wamafungwa na Vita huko kinshasa dk ya 90 ni 2-1, ila Vita watalala na viatu ni ishara kuwa simba akienda kwa waarab kuna kapu la magoli lingine.
Anasema nn huyuKwanini? Ni timu ya Tanzania, hata kama wewe ni Yanga damu. Wakifanikiwa nchi inaheshimika.
Ila leo mbona imechezwa juani tu huko kinshasa na wamepafom.Mechi ya Simba dhidi ya JS Saoura iliyochezwa pale mchina, laiti kama ingelichezwa mida ya saa moja moja hivi usiku, nadhani tungekuwa tunaongea mengine kwasasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri:Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe.
Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii.
Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki.
Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia uwanjani.
Leo lazima mwarabu apigwe,hakuna namna.
Yan ww umeongea uahalisia inaoneka unafatilia mpira practicallyMimi simba ila tuweke uhalisia, simba haiwezi ifunga al ahly, hata droo. Leo tuepuke aibu tusipigwe zaidi ya mkono.
Simba itashinda kwa tofauti ya goli mojaBado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe.
Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii.
Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki.
Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia uwanjani.
Leo lazima mwarabu apigwe,hakuna namna.
Game lilianza kwenye Jua la saa ngapi? Vipi hali ya joto kati ya Kongo na Tanzania inaendana? Kama kuna mfanano wa kila kitu kihali ya hewa basi watakuwa wamejirekebisha walipokosea.Ila leo mbona imechezwa juani tu huko kinshasa na wamepafom.
Binti utapata stress bure mwisho usizione cku zako bure
Kabisa yan vilabu havina utaifa.Wafungwe tu hawa Simba.
Masuala ya mpira hasa bilabu hayana utaifa.
Unaweza kuwashangilia Simba , wakishinda wanakuja kuwatukana washabiki wa Yanga.
Mpira umekwisha 6-0 anayebisha anyooshe mkono