Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

I shall be updating you ingawaje channel ninayotazama watangaza kwa kiarabu na mm sikijuhi
 
Matokeo mazuri Sana kwa Simba kwani sisi mechi ya Leo tutapoteza Bali mechi ya Dar es salaam Tutashinda kwa maana Hadi mzunguko wa 4 unaisha

Al ahly 7
Simba 6
As Vita 5
Js saoura 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo nawe Simba .. Dua'a zetu zipo nawe !! Tufike finals kwa heshima zote
Ushinde ni wako!!!
 
Kila la heri NATIONAL AL AHLY...Tunawatakia ushindi mnono..piga hao UNDERDOG wanaokuja kukamilisha ratiba tu, mashabiki zenu tupo tunawapa support...aaah sana tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…