Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

This is simbaaaaaaaaaa bwana ..hohohooo hoooooo ..hiiiiiiiii hiiiiiiii hiiiiiiiiiii hahaaaa haaaaaa Greece heeeeee huuuuuhuuuuu huuuuuuu bwaaaaa hahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ram
Halafu kocha anafanya nini mpaka sasa? Hata sub moja? Ina maana makosa yote haya hayaoni?

Seriously nimekasirika mno, ingekuwa Yanga ndio inacheza leo ningepata hasara ya TV.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kiukweli waarabu wametuacha mbali Sana wanacheza mpira was akili na speed
Tunasemaga wanapendelewa lakini kiukweli mpira wanaujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Usajili wa Klabu ya Simba sio wa Mashindano Makubwa kama haya ya Klabu Bingwa Afrika.Kama kweli Mwekezaji wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji anataka Klabu yake ifanye vizuri basi sio kwa Wachezaji hawa.Kwa walioangalia mchezo wa Simba na Al hary atakubaliana nami kuwa Safu ya ulinzi wa timu hiyo ni mbovu kabisa .Wachezaji hawa kwa uwezo wao ni kwa Local Matches za ndani kwa maana ya Ligi Kuu , uwezo wao ni wa kucheza na Yanga, Ndanda na Stend United.Naushauri Uongozi wa Simba ifanye mabadiliko makubwa kwa wachezaji wake itafute wachezaji wenye uzoevu mkubwa na pia Kocha mkuu nae naona uwezo wake umefika mwisho.Mwisho namshauri Mtaani wetu kwa kuwa mwaka 2019 yeye ndio Bingwa basi ajipange vilivyo kwani wachezaji kama Boban Fey Toto hamna kitu kwa Mashindano haya ni magumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ni kikosi chote kasoro okwi.
 
Salaam wanasimba wenzangu,
Kwa kifupi tv nimeshindwa kuangalia kutokana na hali ya mchezo, ingawa ni mapema sana. In short tumeelekea kibla japokuwa kwenye mpira lolote lawezekana.
Ushauri wangu Kwa wanasimba wenzangu ni kuwa na subira, tunapitia kipindi kigumu.....tutafika!!
This is (not) Simba

N.b....mabeki hatuna!!!
Mi simba ila naona hamna namna bali lila mchezaji arudi kabeba goli lake, itapendeza.
 
Hamna bwana waarabu wamezidi refa kipindi cha pili inabidi awahesabu , khaaa tano kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom