Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa mmepigwa Khamsa kiarabu
Hahaaa labda usirudi tz ..lazima tukupige maweAm here my, simba sio baba yangu wala mama yangu......[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali ukimuona Shunie naomba unitaarifu. Kuna ishu moja ya dharula sanaMatokeo haya yananikumbuka 2010 Simba na Haras al hadood ,mnyama alikufa 5 - 1 ,mji na uwanja huo huo wa Leo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaaaaaaaHasira zote tutamalizia kwa KARIYA, ajiandae ki psychology tu
Kiukweli waarabu wametuacha mbali Sana wanacheza mpira was akili na speedHalafu kocha anafanya nini mpaka sasa? Hata sub moja? Ina maana makosa yote haya hayaoni?
Seriously nimekasirika mno, ingekuwa Yanga ndio inacheza leo ningepata hasara ya TV.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu, ni kikosi chote kasoro okwi.Hakika Usajili wa Klabu ya Simba sio wa Mashindano Makubwa kama haya ya Klabu Bingwa Afrika.Kama kweli Mwekezaji wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji anataka Klabu yake ifanye vizuri basi sio kwa Wachezaji hawa.Kwa walioangalia mchezo wa Simba na Al hary atakubaliana nami kuwa Safu ya ulinzi wa timu hiyo ni mbovu kabisa .Wachezaji hawa kwa uwezo wao ni kwa Local Matches za ndani kwa maana ya Ligi Kuu , uwezo wao ni wa kucheza na Yanga, Ndanda na Stend United.Naushauri Uongozi wa Simba ifanye mabadiliko makubwa kwa wachezaji wake itafute wachezaji wenye uzoevu mkubwa na pia Kocha mkuu nae naona uwezo wake umefika mwisho.Mwisho namshauri Mtaani wetu kwa kuwa mwaka 2019 yeye ndio Bingwa basi ajipange vilivyo kwani wachezaji kama Boban Fey Toto hamna kitu kwa Mashindano haya ni magumu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariya kafanyaje sasaHasira zote tutamalizia kwa KARIYA, ajiandae ki psychology tu
Unateseka mtani????usife moyo magoli mengi hayaumiMbona vyura ndio mnashadadia sana huu uzi? Kwani nyie mnacheza lini?
Au bado mko dimbwini pale jangwani mnaogelea matopeni?
Pamoja na kushiriki kwenye hiyo stage mliyopo hatukuwahi kufungwa kama mtakavyo fungwa leo
Leo wote simba sio mzazi wetu, tumekutana nayo msimbazi tu pale kituo cha mwendo kasiInamaana JF yote ni mashabiki ya vyura?
Moja - wahed
Mi simba ila naona hamna namna bali lila mchezaji arudi kabeba goli lake, itapendeza.Salaam wanasimba wenzangu,
Kwa kifupi tv nimeshindwa kuangalia kutokana na hali ya mchezo, ingawa ni mapema sana. In short tumeelekea kibla japokuwa kwenye mpira lolote lawezekana.
Ushauri wangu Kwa wanasimba wenzangu ni kuwa na subira, tunapitia kipindi kigumu.....tutafika!!
This is (not) Simba
N.b....mabeki hatuna!!!