Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Tatizo letu sisi tunaongea sana...cha kwanza Simba mtoeni manara msemaju aliwaaminisha mtaifunga hata barcelona [emoji23][emoji23]
 
Wapenzi na wanachama wenzangu wasimba tunakikosi kipana hizi goli 5 kipindi cha pili zinarudi waarabu lazima wafe.
This iz..........
 

Attachments

  • IMG_20190202_224655_452.JPG
    IMG_20190202_224655_452.JPG
    30.1 KB · Views: 18
Hakika Usajili wa Klabu ya Simba sio wa Mashindano Makubwa kama haya ya Klabu Bingwa Afrika.Kama kweli Mwekezaji wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji anataka Klabu yake ifanye vizuri basi sio kwa Wachezaji hawa.Kwa walioangalia mchezo wa Simba na Al hary atakubaliana nami kuwa Safu ya ulinzi wa timu hiyo ni mbovu kabisa .Wachezaji hawa kwa uwezo wao ni kwa Local Matches za ndani kwa maana ya Ligi Kuu , uwezo wao ni wa kucheza na Yanga, Ndanda na Stend United.Naushauri Uongozi wa Simba ifanye mabadiliko makubwa kwa wachezaji wake itafute wachezaji wenye uzoevu mkubwa na pia Kocha mkuu nae naona uwezo wake umefika mwisho.Mwisho namshauri Mtaani wetu kwa kuwa mwaka 2019 yeye ndio Bingwa basi ajipange vilivyo kwani wachezaji kama Boban Fey Toto hamna kitu kwa Mashindano haya ni magumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku yanapangwa makundi kuna watu niliwambia hili wakabisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa simba msijali ...kipindi cha pili kikianza tunarejesha gold zote na kuongeza magoli mawili yatakayo tupatia ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom