Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Hawa jamaa ni kma wako training.

Ball inaflow nikama kuna corns na sio watu.


Hii ni aibu sana,wachezaji hawana commitment. Wacha wale wanazostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba inalewa sifa ndo tatizo

[emoji375][emoji375]
 
Moja - Wahed [emoji3581]
Mbili - Ithnan [emoji3581]
Tatu - Thalatha [emoji3581]
Nne - Arba [emoji3581]
Tano - Khamsa [emoji3581]
Sita - Sitta
Saba - Sab'ah
Nane - Thamaniya
Tisa - Ti'ssah
Kumi - Asharah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom