Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Ns nyie makelele kibao hata timu moja Champions League hamna.
 
Hamna goli au likiwepo ni moja na sio zaidi na anaweza kulipata Simba.

Tactically mechi ilishaisha by HT, vyura mlijua Ahly watarudi na tempo ile ile ya first half wakati mecho tayari ilishaisha. Ndio maana wengi mlianza kutabiri nane mara tisa ila mbinu za soka hewa kabisa hamzijui [emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naona unasifia matokeo ya hamsaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom