Kumbe ni lijitu la kaskazini? Ndio maana.Sawa ila lazima uangalie ukaribu na vivutio hivyo na vipo vingi sehemu gani. Huwezi kujenga tourist hub Kigoma ambapo vivutio vya utalii ni vichache ukaacha kujenga hub hiyo mahali kama Arusha ambapo vivitio hivyo vimelundikana. Mwanza ukiacha Ziwa Victoria kuna national parks ngapi ukilinganishwa na ukanda wa Kaskazini? Kilimanjaro national park, Mkomazi np, Arusha np, Tarangire np, Manyara np, Ngorongoro np, na nyingine nyingi. Kwanini kuanza kuvunja nguvu hii kwa kuanzisha circuits nyingine pengine zitazoongeza gharama tu kwa serikali na watalii?
Huyo jamaa anaamini miundombinu ipo kwa ajili ya kurahisisha shughuli za kitalii tu basi.... akili zake ni duni sana, sijui kasomea wapi.International Airport hazijengwi kwa sababu ya Tourism peke yake. Kuna mambo mengi muhimu, pengine muhimu zaidi ya hilo swala moja tu la utalii.
Hili la utalii ndilo wewe limekupofusha akili kabisa?
Dar es Salaam ilivyo sasa, ungetamani isiwe na international airport kwa vile haipo kwenye eneo la vivutio vya utalii?
Ilipokaa Mwanza ni sehemu ya kimkakati sana katika eneo zima la Afrika Mashariki. Ni bahati nzuri tu, kwamba Arusha iliwahi kuwa Makao ya Jumuia ya Afrika Mashariki, lakini kiuhalisia, eneo sahihi lilipashwa kuwa Mwanza.Huyo jamaa anaamini miundombinu ipo kwa ajili ya kurahisisha shughuli za kitalii tu basi.... akili zake ni duni sana, sijui kasomea wapi.
Mtu anashindwa kuelewa ukiongelea habari ya maziwa makuu na shughuli zinazofanyika pembezoni kwa percentage kubwa zinafanyika Mwanza... biashara ya samaki,mabondo,dagaa na hata mifugo kwa kiasi kikubwa logistics huwa inafanyikia mwanza... na wanaoifanya ni watu kutoka mataifa tofauti tofauti.
Ila yeye amekariri, international airport ni kwa ajili ya utalii tu ni akili hizo? Au ngoja tumuulize pale Entebbe Uganda kuna international airport je kuna shughuli gani za kitalii zinazoendelea pale?
Una mawazo mazuri, lakini mawazo yake ni mgando!Wakipitia Arusha ndio kila kitu kwanza wanaanza na:
My Kilimanjaro, then
Arusha national park
Tarangire
Manyara
Ngorongoro halafu ndio
Serengeti
Arusha pamekaa kistratejia zaidi
Tunahitaji ku diversified tourist products kusini,magharibi,kanda ya ziwa,na mashariki kanda ya kaskazini imekuwa saturated mno. Mwanza international airport is a solution,Said Mtanda kwa hili usifanye siasa au longolongo as a strong RC. NI issue kwa mzaAHaa. Kumbe unasukumwa na maslahi na siyo sababu za sifa za kuwa na uwanja wa kimataifa wa ndege?
Ni mtalii gani anakuja Tanzania na lengo la kutembelea maeneo hayo pekee uliyoyataja wewe? Unataka vivutio viwe sehemu moja tu ya nchi; kwa nini?
Inajulikana toka zamani, maslahi ya watu wenye mawazo kama yako ndio miaka yote wamekuwa wakiukwamisha huu uwanja wa Mwanza usipewe hadhi inayoistahili. Huu ni ubinafsi usiohitajika ndani ya nchi hii. Maendeleo ya nchi ni kwa watu wote, siyo eneo fulani pekee.
Sasa hapo Mwanza international international airport ya nini? Walikimbilia kujenga Songwe international airport zaidi ya miaka 10 iliyopita lakini umewahi kusikia ikifanya international flights? Hakuna sababu ya maana ya kuwa na international airport Mwanza.Huyo jamaa anaamini miundombinu ipo kwa ajili ya kurahisisha shughuli za kitalii tu basi.... akili zake ni duni sana, sijui kasomea wapi.
Mtu anashindwa kuelewa ukiongelea habari ya maziwa makuu na shughuli zinazofanyika pembezoni kwa percentage kubwa zinafanyika Mwanza... biashara ya samaki,mabondo,dagaa na hata mifugo kwa kiasi kikubwa logistics huwa inafanyikia mwanza... na wanaoifanya ni watu kutoka mataifa tofauti tofauti.
Ila yeye amekariri, international airport ni kwa ajili ya utalii tu ni akili hizo? Au ngoja tumuulize pale Entebbe Uganda kuna international airport je kuna shughuli gani za kitalii zinazoendelea pale?
Mwanza haina abiria wengi wanaoweza kusababisha kujengwa international airport. Hakuna shughuli za kimataifa kama Arusha, Dar, Dodoma. Mnataka international airport ya nini?International Airport hazijengwi kwa sababu ya Tourism peke yake. Kuna mambo mengi muhimu, pengine muhimu zaidi ya hilo swala moja tu la utalii.
Hili la utalii ndilo wewe limekupofusha akili kabisa?
Dar es Salaam ilivyo sasa, ungetamani isiwe na international airport kwa vile haipo kwenye eneo la vivutio vya utalii?
Mwanza bado kabisa hata huo uwanja mdogo tu abiria ni wachache international airport ya nini?Utalii sio kuangalia wanyama pekee lazima tubadilike tuendane na wakati leo hii Dubai wanatengeneza mbuga zao zenye wanyama kama ambao wapo kwetu na ukweli ni kwamba wametoka kwetu kwahiyo itafika muda watalii wengi wataishia Dubai badała ya kują nchini kwetu kutolana na mikakati wenzetu waliyojiwekea huko mbeleni. Utalii upo wa aina nyingi ingawa sisi tumekomaa na wanyama tu miaka nenda rudi wakati mila na tamaduni za baadhi ya jamii zetu ni utalii tosha pia fukwe na majengo ya kale, miamba na mapango, vyakula nk. Mpaka hapo hujaona umuhimu wa kuwa na uwanja wa ndege Wenye hadhi ya kimataifa kwa ukanda ule?
Kwa maoni yako haya ni kwamba Mwanza hata kama haina vitu hivyo leo, itakuwa hainavyo miaka yote?Mwanza haina abiria wengi wanaoweza kusababisha kujengwa international airport. Hakuna shughuli za kimataifa kama Arusha, Dar, Dodoma. Mnataka international airport ya nini?
Wanahitsjika wangapi?Mwanza haina abiria wengi wanaoweza kusababisha kujengwa international airport. Hakuna shughuli za kimataifa kama Arusha, Dar, Dodoma. Mnataka international airport ya nini?
Arudishwe jeshini kashindwa kazi, watuletee wamkaya makondaWananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa.
Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla alijitahidi sana kuurejesha kwenye uhai lakini kampuni ya Mzawa haionekani kufanya chochote hadi sasa site kulikoni? kimya kabisa.
Aidha, kuna ahadi ya kujenga njia 4 barabara za Kenyata na Nyerere kuingia/kutoka jijini ahadi ya muda mrefu tunataka kuona vitendo na matokeo, wizara ya uchukuzi na pia ujenzi si jui wanatuonaje kanda hii.
Tunaangalia utakavyoisaidia Mwanza na Kanda ya Ziwa kukamilisha miradi. Tunakutakia kazi njema na uongozi uliotukuka kwenye mkoa huu ili uache alama
Hizo ni dili za Mbarawa na AbdulWananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa.
Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla alijitahidi sana kuurejesha kwenye uhai lakini kampuni ya Mzawa haionekani kufanya chochote hadi sasa site kulikoni? kimya kabisa.
Aidha, kuna ahadi ya kujenga njia 4 barabara za Kenyata na Nyerere kuingia/kutoka jijini ahadi ya muda mrefu tunataka kuona vitendo na matokeo, wizara ya uchukuzi na pia ujenzi si jui wanatuonaje kanda hii.
Tunaangalia utakavyoisaidia Mwanza na Kanda ya Ziwa kukamilisha miradi. Tunakutakia kazi njema na uongozi uliotukuka kwenye mkoa huu ili uache alama
Sisi tunaongozwa na watu wapuuzi ndiyo maana hatuwazi nje ya boxLile wazo la Magu Kutengeneza mbuga nyingine tofauti na tulizozizoea lilikuwa sahihi sana sema wabongo tunachukua muda mrefu kuelewa vitu tunaishia kwenye kuponda bila kuwaza kwa usahihi na kufikiria kwa mapana zaidi. Fikiria Waarabu wameona wachukue wanyama huku kwetu wakatengeneze mbuga sisi tupo tu na zile zile za kale hata hatuwazi vizuri kuongeza vivutio zaidi vya utalii.
Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha na Dom zinatakiwa kuwa na International Airport maana kuna wageni wengi wanaingia na kutoka, tena ikiwezekana hata Kahama nayo sababu za kiuchumiInternational Airport hazijengwi kwa sababu ya Tourism peke yake. Kuna mambo mengi muhimu, pengine muhimu zaidi ya hilo swala moja tu la utalii.
Hili la utalii ndilo wewe limekupofusha akili kabisa?
Dar es Salaam ilivyo sasa, ungetamani isiwe na international airport kwa vile haipo kwenye eneo la vivutio vya utalii?
Acha bangi basi, nenda Air Tanzania au TAA uwaulize. Mwanza ni ya 2 kwa domestic flights baada ya JNIA! Air Tanzania pekee wana route 5 per day kutoka na kwenda viwanja tofauti nchi hii.Mwanza bado kabisa hata huo uwanja mdogo tu abiria ni wachache international airport ya nini?
Tatizo unaonekana umejichimbia hapo kwenu tu ungalimited ukishinda unavuta bangi, na huna exposure yoyote wala hiyo mwanza yenyewe huijui zaidi ya kuisoma tu mitandaoni kutoka kwa haters wenzio wanaoichukia mwanza...!!Mwanza bado kabisa hata huo uwanja mdogo tu abiria ni wachache international airport ya nini?
Huyo jamaa inaonekana wazi anasumbuliwa na chuki za kikanda,ujinga, kutokujiamini na na bangi zilzomuathiri mshipa ya ubongo... ndio maana ana bwabwaja tu bila kujua anachokiandika ni nini.Acha bangi basi, nenda Air Tanzania au TAA uwaulize. Mwanza ni ya 2 kwa domestic flights baada ya JNIA! Air Tanzania pekee wana route 5 per day kutoka na kwenda viwanja tofauti nchi hii.
Mimi naipenda Mwanza sana na nashangaa kwanini serikali haiendelezi mji mzuri na mkubwa kama Mwanza. Mwanza ilipaswa kuwa jiji kubwa na zuri kweli kweli. Ilipaswa barabara ya njia nane kilometer 30 kabla ya kufika katikati ya mji, treni nzuri, kiwanja kikubwa cha mpira kama cha Dar, n.k.Tatizo unaonekana umejichimbia hapo kwenu tu ungalimited ukishinda unavuta bangi, na huna exposure yoyote wala hiyo mwanza yenyewe huijui zaidi ya kuisoma tu mitandaoni kutoka kwa haters wenzio wanaoichukia mwanza...!!
Umewahi kwenda pale Ilemela Airport ukaona jinsi abiria walivyojazana wakisubiri ndege? Je unatambua kwanza baada ya JNIA the busiest airport inayifuata kwa hapa bongo ni mwanza airport, na pia ni rahisi sana leo hii ukienda pale JNIA kupata flight ticket ya kwenda Arusha/kilimanjaro leo kuliko kupta ya kwenda Mwanza kwa safari ya leo leo.
Majitu yenye fikra za kibaguzi na chuki kama wewe ndio mmekwa ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya sehemu zingine, huwa mnataka mambo yote ya maana yafanyike kaskazini tu... ovyo sana wewe
Mimi naipenda Mwanza sana na nashangaa kwanini serikali haiendelezi mji mzuri na mkubwa kama Mwanza. Mwanza ilipaswa kuwa jiji kubwa na zuri kweli kweli. Ilipaswa barabara ya njia nane kilometer 30 kabla ya kufika katikati ya mji, treni nzuri, kiwanja kikubwa cha mpira kama cha Dar, n.k.Acha bangi basi, nenda Air Tanzania au TAA uwaulize. Mwanza ni ya 2 kwa domestic flights baada ya JNIA! Air Tanzania pekee wana route 5 per day kutoka na kwenda viwanja tofauti nchi hii.
Hata Kenya ambapo wapo wazungu wengi sana wanaishi na kumiliki mashamba na biashara kubwa na wakenya wengi sana husafiri kwenda kokote duniani, kiwanja cha kimaifa kwa maana halisi ni Jomo Kenyatta International Aiport, hata Mombasa International Airport in feed JKIA tu hairushi ndege moja kwa moja Dubai au Amsterdam. Sasa international airport Mwanza si itakuwa hasara tupu?Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha na Dom zinatakiwa kuwa na International Airport maana kuna wageni wengi wanaingia na kutoka, tena ikiwezekana hata Kahama nayo sababu za kiuchumi