SHABANI MUSHI
Member
- Apr 28, 2018
- 74
- 82
Samahanini Ndugu wana JF poleni kwanza na majukumu ya siku.
Nilikua nina swali au ombi lakujuzwa ni mtandao upi kwa sasa unaweza kujiunga bando la usiku, kiukweli Mimi ni mpenzi wa Movies and series nimekua napata shida saana ya kupata VIFURUSHI kwa ajili ya kupakua, hapo zamani nilikua natumia Airtel lakini kwa sasa wameitoa hiyo ofa ilikua 1500 unapewa 10 GB.
Ombi: Yeyote mwenye utaalam upande wa kupata VIFURUSHI kama hivyo anijuze ni wapi/ mtandao upi napata