Mtandao gani una vifurushi vizuri vya intaneti vya usiku?

Mtandao gani una vifurushi vizuri vya intaneti vya usiku?

Ttcl ndio walikuwa wakali wa vifurushi vya usiku 1000 tsh 10GB
 
Aisee kwa Tanzania airtel

ndio mtandao mbovu kuliko yote ,nilikuwa siamini ila sasa nimeamini, nimejiunga kifurushi cha data, mtandao wao upo slow sana,hadi nimetoa laini nimeweka ya mtandao mwingine
 
Back
Top Bottom