Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 1,849 Reaction score 3,506 Sep 5, 2022 #1 kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
Anor Member Joined Aug 26, 2022 Posts 5 Reaction score 3 Sep 5, 2022 #2 Nadhani tusubirie huenda ukaja mtandao mpya wa hivyo
Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 1,849 Reaction score 3,506 Sep 5, 2022 Thread starter #3 Anor said: Nadhani tusubirie huenda ukaja mtandao mpya wa hivyo Click to expand... duh kwa hyo kwa sasa hamna?
Anor said: Nadhani tusubirie huenda ukaja mtandao mpya wa hivyo Click to expand... duh kwa hyo kwa sasa hamna?
Anor Member Joined Aug 26, 2022 Posts 5 Reaction score 3 Sep 5, 2022 #4 Financial Analyst said: duh kwa hyo kwa sasa hamna? Click to expand... hakuna
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Sep 5, 2022 #5 Financial Analyst said: duh kwa hyo kwa sasa hamna? Click to expand... Subiri mtandao mpya wa Azam mkuu.
Financial Analyst said: duh kwa hyo kwa sasa hamna? Click to expand... Subiri mtandao mpya wa Azam mkuu.
Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 1,849 Reaction score 3,506 Sep 5, 2022 Thread starter #6 aise said: Subiri mtandao mpya wa Azam mkuu. Click to expand... ok mkuu,