Muuza Mkaa
New Member
- Feb 3, 2020
- 1
- 7
Mtandao huo unaongozwa na Mbunge wa Zamani Mtwara Mjini Bwana Asnain Murj, ambaye anataka kumrithisha Kijana wake Kugombea Ubunge Mtwara Mjini aitwaye Shayd ambaye pia ni Mjumbe Kamati ya Siasa.
Pia Katika Mtandao huo yupo Saidi Mtanda atakayegombea Jimbo la Mh Chikota Nanyamba. Nasibu Kanduru Newala Mjini jimboni kwa Mh Mkuchika.
Yahya Nawanda Huyu alikuwa DC Yeye Newala Vijijini Asnain Murj ambaye anataka Jimbo la Ndada.
Idrissa Nannila ambaye anataka Jimbo la Tandahimba.
Matipula DAS Babati naye amepangwa Kugombea Ubunge Jimbo la Nanyumbu. Nguyahambi Mustapha Jimbo la Masasi.
Kama Kawaida nitaleta taarifa za Vikao vinavyofanyika Mtama na Mtwara
Team Membe
Sent using Jamii Forums mobile app