Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,604
Ukweli gani Mayalla? Halafu unaleta bandiko lako kama uthibitisho ama hukuelewa swali langu? Nilitaka maoni yako kama ungependa bunge la chama kimoja wakati wa Magufuli adiyependa kukosolewa zaidi ya kusifiwa?Mkuu Mbase, sio issue ya kupenda, it's a fact,
naukweli wenyewe ni huu
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com