Kinambeu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 906
- 454
Muuza Mkaa,Mtandao huo unaongozwa na Mbunge wa Zamani Mtwara Mjini Bwana Asnain Murj, ambaye anataka kumrithisha Kijana wake Kugombea Ubunge Mtwara Mjini aitwaye Shayd ambaye pia ni Mjumbe Kamati ya Siasa.
Pia Katika Mtandao huo yupo Saidi Mtanda atakayegombea Jimbo la Mh Chikota Nanyamba. Nasibu Kanduru Newala Mjini jimboni kwa Mh Mkuchika.
Yahya Nawanda Huyu alikuwa DC Yeye Newala Vijijini Asnain Murj ambaye anataka Jimbo la Ndada.
Idrissa Nannila ambaye anataka Jimbo la Tandahimba.
Matipula DAS Babati naye amepangwa Kugombea Ubunge Jimbo la Nanyumbu. Nguyahambi Mustapha Jimbo la Masasi.
Kama Kawaida nitaleta taarifa za Vikao vinavyofanyika Mtama na Mtwara
Team Membe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Haji Mnasi DED wa ILEJE ambaye utendaji wako umekuwa wa mashakamashaka sana kwani kila mtu wa hapo Ileje anajua namna utendaji wako upo chini kabisa tena wakiwango cha mtu cha chini kabisa.
Nenda kapambane jimboni haya mambo ya kuchafua watu hayakusaidii bali unazidi kujiharibia. Nchi hii itaongozwa na JPM hadi 2025 hakuna ubishi katika hilo sasa Membe anatokea wapi?
Wewe tunataarifa zako nyingi ambazo wakuu wa idara wamekubali kuzitoa nasi tutaanza kuziweka hapa Jamvini week ijayo tena kwa ushahidi na zile case zako zilizopo Takukuru tutaziweka moja baada ya nyingine.
Kazi imeanza rasmi..... Usikimbe