Uchaguzi 2020 Mtandao Hatari wa Bernard Membe Wamejipanga Kunyakuwa Viti Vya Ubunge Mtwara

Muuza Mkaa,
Wewe ni Haji Mnasi DED wa ILEJE ambaye utendaji wako umekuwa wa mashakamashaka sana kwani kila mtu wa hapo Ileje anajua namna utendaji wako upo chini kabisa tena wakiwango cha mtu cha chini kabisa.

Nenda kapambane jimboni haya mambo ya kuchafua watu hayakusaidii bali unazidi kujiharibia. Nchi hii itaongozwa na JPM hadi 2025 hakuna ubishi katika hilo sasa Membe anatokea wapi?

Wewe tunataarifa zako nyingi ambazo wakuu wa idara wamekubali kuzitoa nasi tutaanza kuziweka hapa Jamvini week ijayo tena kwa ushahidi na zile case zako zilizopo Takukuru tutaziweka moja baada ya nyingine.

Kazi imeanza rasmi..... Usikimbe
 
Huyu jamaà hapa halimashauri hawamtaki ntakupa na ushaidi mwingine juu ya kisa alichomfanyinyia yule.mwl
 
Duuh!
Jamaa kama ndio mwenyewe atakimbia nduki nduki.

Kama si yeye utakuwa umemshambulia mtu mwingine bila sababu utaaika maadui wengi.
 

Wewe umepangwa kugombea jimbo lipi?

Hivi ni laana kwa mtu yeyote anayekuwa kinyume na matakwa ya serikali kuonekana kama msaliti hadi hapa wanaitwa mtandao hatari?
 
Anahonga vijana flani hivi wa Kitangali ili wamchafue ndg Nawanda. mmoja wapo ni mtoto wa Nankame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi filimbi bado haijapigwa mumeshaunda tayari kamati ya fitna na majungu .Wewe mleta maana ndio mwenyekiti wa hiyo kamati hiyo ya fitna na majungu
Vipi mzee mbona POVU, JASHO, USHUZI na Vijambo vya hapa na pale KULIKONI?
 
sasa mbona mnawaharibia?jiwe si atawakata?
 
Mayalla unapenda bunge la chama kimoja? Unaviona vilio vya marekani?
Mkuu Mbase, sio issue ya kupenda, it's a fact,
naukweli wenyewe ni huu
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…