OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nyota ya Haji Manara afisa habari wa Simba SC imezidi kung'ara siku hadi siku.
Mtandao wa kijamii mkubwa na maarufu barani Afrika umemuita Haji Marketing genius.
Tunakubaliana sote kazi ya ziada anayoifanya Haji katika hamasa. Msimu uliopita alichukua tuzo ya mtu aliyeongoza kutia hamasa klabuni. Nyomi za mechi ya Nkana na hata AS Vita ina mkono wa Haji kwa namna moja au nyingine.
Tuwe na utamaduni wa kupongeza watu wakiwa hai badala ya kusubiri mpaka afariki. Hongera sana Haji,huwa nikikuona wewe najisikia kuiona Simba.