Mtandao wa African Soccer wamuita Haji Manara "Makerting genius"

Mtandao wa African Soccer wamuita Haji Manara "Makerting genius"

Wee jamaa ni busha
Umevaa jezi ya Simba,,tumekusitiri kwa kukuvesha nguo ya Simba lkn hauna shukurani,,,
IMG_1553113309663.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufanya vizuri kwa hz club hutegemea sana na uongozi uliopo madarakani na hali ya kifedha ntakukumbusha kpnd kile simba haifanyi vizuri mashabili walikuwa hawajai uwanjani jezi zilikuwa hazivaliki mtaani je manara hakuwepo? manara ni msemaji kwa miaka kadhaa sasa kwann anaonekana saa hz kwamba muhamasishaji? jibu ni moja tu Mo pesa ipo ple timu inasajili inaemtaka inafanya vizuri kwenye ligi na kimataifa kwann wasijae viwanjani? naongea through experience naikumbuka simba kabla ya Mo hali ilikuwaje na nnaikumbuka pia ila yanga kabla ya Manji pia timu ilikuwa haieleweki migogoro ya kutosha baada ya Manji tu kutia hela timu ikawa inafanya vizuri kwenye ligi na kimataifa wananchi walikuwa wana jaa sana viwanjani jezi zilikuwa zinavalika mitaani ona saa hz mahudhurio yao yalivyo mabovu hakuna cha manara wala nn jibu ni pesaaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingilio buku tatu..kama ndondo ya Shaffi...Mo kama tajiri kweli anunue mechi ya Mazembe watu waingie bure kama alivyofanyaga Yusufu
 
Hili chura lenyewe limevaa nguo nyekundu.
Kunta ni jina linalojulikana maana yake. Huyu kalivaa tu bila kuulizia. Ingia Instagram utakuta hiyo habari wacha chuki na husda.
 
Kweli wewe na akili yako ya kuungaunga unaamini kwamba dawa zinapulizwa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo!!!
Kweli nimeamini ujinga hautakwisha kirahisi kwa sababu wajinga kama wewe bado wapo wengi.
Ujima ni ujahili. Na ujahili ni ujinga.
Pukachaka.
 
Unajichekesha nini kama chakula?
Vipi rufaa imeshatolewa maamuzi?
Sioni ajabu mlikata rufaa pia dhidi ya Stendi UNITED.
Mkawaingiza chaka Vita mpaka wanaonekana kituko.
 
Back
Top Bottom