OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kakate rufaaMnajitekenya kisha mnacheka wenyewe
Eti mtandao mkubwa, bila hata aibu yaani page/account haipo hata verified
Hakika huu ni umbumbumbu
Nyie jamaa ni mbumbumbu. Hata jamiiforums accòunts zake katika social networks zote zipo verified, huo mtandao gani maosema nyie page/acc hazipo verifiedKakate rufaa
Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe
Eti mtandao mkubwa, bila hata aibu yaani page/account haipo hata verified
Hakika huu ni umbumbumbu
Team ya wananchiWe utakuwa Timu ya Mzee Yahaya Akilimali
Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe
Eti mtandao mkubwa, bila hata aibu yaani page/account haipo hata verified
Hakika huu ni umbumbumbu
Kijana acha mipashoNyie jamaa ni mbumbumbu. Hata jamiiforums accòunts zake katika social networks zote zipo verified, huo mtandao gani maosema nyie page/acc hazipo verified
Eti mtandao mkubwaa nyooooo
Kweli wewe saa mbovu
Mbumbumbu mmeshikwaa akiliNilijua tu lazima kitakuja Chura kirukeruke
Mnazinduliwa akili ila kwakua ní mbumbùmbu hamtaelewa
Nyie mbumbumbu mnàdanganywa mnakubali kama gari bovu linarushuka mlimaNa ndiyo mana unapoona Vyura FC wanamchukia Sana Haji Manara basi huna hana ya kuuliza sababu ni nini