Mtandao wa African Soccer wamuita Haji Manara "Makerting genius"

Nyie jamaa ni mbumbumbu. Hata jamiiforums accòunts zake katika social networks zote zipo verified, huo mtandao gani maosema nyie page/acc hazipo verified

Eti mtandao mkubwaa nyooooo
Vyura bana, matope yamewaathiri sana. Hivi msemaji wenu ni nani vile? Hebu rudi bwawani hapa c mahali pako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiambiwa aibrand kwa kimombo ndio ububu utaamzia hapo.
 
Nataka mkatajwe nyie mambumbumbu
We prince mazembe najaribu kuangalia majibu ya nyuzi zako najinsi ulivyo kichwa kinapata shida maneno mengi ni yakina dada mpira wa kiume ni 90 minutes.Japo utani wa vilabu ila cjawah shabikia timu ya nje waifunge yanga,mwakani club bingwa mnacheza kama sio mwaka huu mwishon.uwe na akiba na maneno yasije yakakukuta ya alieweka mke ki ushabiki.
Mazembe timu kubwa lakini huwezi kumwambia mwanaume mwenzio ntakupiga lazima mpambane
Note.Jogoo hafi kwa utitiri ata siku moja
Simba Nguvu moko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tulia hapô hapo umalize hizo dakika 90 tuache sisi tuendelee na utani wêtu wa jadi
 
Exactly, huwa nasema mara zote kwamba Marketing ndo kitengo kikubwa ambacho Manara anakitendea haki.

Anastahili.
 

Watu kama nyie ndio mnatafutwa kwa kuleta au kusambaza habari za uongo mitandaoni...kama umesambaza uongo kama huu inawezekana hata mambo mazito ya kisiasa huwa mnasambaza
 
Watu kama nyie ndio mnatafutwa kwa kuleta au kusambaza habari za uongo mitandaoni...kama umesambaza uongo kama huu inawezekana hata mambo mazito ya kisiasa huwa mnasambaza
Ungefanya simple search tu,ingia huo mtandao twita huna haja ya kumwaga povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…