Chif VP,,,,embu vua basi jezi ya Simba..Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe
Eti mtandao mkubwa, bila hata aibu yaani page/account haipo hata verified
Hakika huu ni umbumbumbu
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli...Kweli wewe saa mbovu
Mbumbumbu kazi mnayooo safari hii timu itatoa kafara kubwa ya mabumbumbu wake
Wee jamaa ni bushaHata saa mbovu kuna muda inasema kweli...
Oyooooo,,kide kide,,kidedea.,,,,kide kide kidea,,Wazee wa bakuli vyoooo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umevaa jezi ya Simba,,tumekusitiri kwa kukuvesha nguo ya Simba lkn hauna shukurani,,,Wee jamaa ni busha
Wewe kweli ni busha la upembaniUmevaa jezi ya Simba,,tumekusitiri kwa kukuvesha nguo ya Simba lkn hauna shukurani,,,View attachment 1050189
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuzunguka sana sema unataka ulipiweKiingilio buku tatu..kama ndondo ya Shaffi...Mo kama tajiri kweli anunue mechi ya Mazembe watu waingie bure kama alivyofanyaga Yusufu
Utapigwa mimba wewe Acha kupenda vya bureeKiingilio buku tatu..kama ndondo ya Shaffi...Mo kama tajiri kweli anunue mechi ya Mazembe watu waingie bure kama alivyofanyaga Yusufu
Tumia akili,usiwe na akili fupi mpaka ukaamini dawa zilipulizwa vyumbaniMbumbumbu soma hiyoView attachment 1051545
Mbona unabweka sasa?? Au ndo kichaa cha mbwa wa IRINGA??Nataka mkatajwe nyie mambumbumbu
Kwa kwa kwa..Mo hana jeuri ya Yusuf