longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
***Habari wana jamvi?
Hivi jamani mmeona laana iliopo Badoo?Yaani mimi nlijua ni app ya kawaida ya kusocialize lakini daaaah[emoji15] salaaaaaleh[emoji86] .
Nilijiunga ikaja option kua nataka kuchat na nani nkaadd "female" age "20-40" yaan tangu ni accept kuna malaya wa kila aina na haogopi kabisa kua wazi kukueleza lakini piakupanga bei online.kwanza wanatabia zavibomu balaa.Nilienda mbali zaidi na kufanya katafiti kangu nkafanikiwa kummit mmoja na tukahegedana kabisa...
Najiuliza
Serikal kupitia TCRA, haioni haja sasa ya app kama.hizi kutozipa nafasi ikiwa ni sehemu ya kupunguza kasi ya maambukizi hasa kwa vijana?
My take
Ifike mahala mitandao ya kijamii iwe huru kuanzia saa kumi na mbili jioni.
Sasa tutajuaje kama haufanyi?Mbona mi niko na sifanyi biashara hizo.
Sasa kaka kumbe uligegeda halafu unaomba tcra ushauri..au tuanze na wewe
Practice makes perfectNgoja nidownload nishuhudie mkuu sipendagi kusimuliwa tu
,Practice makes perfect
acha uzushu..!!Mbona mi niko na sifanyi biashara hizo.
Ndio niamini nisemalo au unataka nifanye na wewe?Sasa tutajuaje kama haufanyi?
Hata sitaki kufanya na wewe.Ndio niamini nisemalo au unataka nifanye na wewe?
Acha kuvungaa hapa... Mi mwenyewe nakutaka sasaa. .. hata watu wote waishe sikutakii ng'ooo hata nikiambiwa naugonjwa nikifanya na wewe ntapona sitakiii acha nikufee tu.Hata sitaki kufanya na wewe.
teh teh tehAcha kuvungaa hapa... Mi mwenyewe nakutaka sasaa. .. hata watu wote waishe sikutakii ng'ooo hata nikiambiwa naugonjwa nikifanya na wewe ntapona sitakiii acha nikufee tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweendraaa mi siko kinyume namaanisha. Sikutaki hata kwa pesa sembuse buree. .teh teh teh
mbona unafunguka sana hata maswali ambayo hujaulizwa?? au umeizimia avartar??
Kuna uzi umewekwahumu ndani unasema eti mwanamke akikutaka huwa anazungumza kinyume nyume, mfano akitaka umgegede atasema "mi sitaki kabisa unigegede".
Ngoja niulete huo uzi hapa, mwenzio Mchumba alianza hivi hivi
teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweendraaa mi siko kinyume namaanisha. Sikutaki hata kwa pesa sembuse buree. .
Chiiii taaa ki! Kwani lzmteh teh teh
sema tu mamaa usiogope.
JF is the place where we dare to speak openly........
Habari wana jamvi?