Mtandao wa Badoo

Mtandao wa Badoo

Habari wana jamvi?
Hivi jamani mmeona laana iliopo Badoo?Yaani mimi nlijua ni app ya kawaida ya kusocialize lakini daaaah[emoji15] salaaaaaleh[emoji86] .
Nilijiunga ikaja option kua nataka kuchat na nani nkaadd "female" age "20-40" yaan tangu ni accept kuna malaya wa kila aina na haogopi kabisa kua wazi kukueleza lakini piakupanga bei online.kwanza wanatabia zavibomu balaa.Nilienda mbali zaidi na kufanya katafiti kangu nkafanikiwa kummit mmoja na tukahegedana kabisa...
Najiuliza
Serikal kupitia TCRA, haioni haja sasa ya app kama.hizi kutozipa nafasi ikiwa ni sehemu ya kupunguza kasi ya maambukizi hasa kwa vijana?
My take
Ifike mahala mitandao ya kijamii iwe huru kuanzia saa kumi na mbili jioni.
***
UNATAKA KUTULETEA MAMBO YA NORTH KOREA HAPA. FAIL FAIL FAIL /
 
Acha kuvungaa hapa... Mi mwenyewe nakutaka sasaa. .. hata watu wote waishe sikutakii ng'ooo hata nikiambiwa naugonjwa nikifanya na wewe ntapona sitakiii acha nikufee tu.
teh teh teh
mbona unafunguka sana hata maswali ambayo hujaulizwa?? au umeizimia avartar??

Kuna uzi umewekwahumu ndani unasema eti mwanamke akikutaka huwa anazungumza kinyume nyume, mfano akitaka umgegede atasema "mi sitaki kabisa unigegede".
Ngoja niulete huo uzi hapa, mwenzio Mchumba alianza hivi hivi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweendraaa mi siko kinyume namaanisha. Sikutaki hata kwa pesa sembuse buree. .
 
Habari wana jamvi?
Hivi jamani mmeona laana iliopo Badoo?Yaani mimi nlijua ni app ya kawaida ya kusocialize lakini daaaah[emoji15] salaaaaaleh[emoji86] .
Nilijiunga ikaja option kua nataka kuchat na nani nkaadd "female" age "20-40" yaan tangu ni accept kuna malaya wa kila aina na haogopi kabisa kua wazi kukueleza lakini piakupanga bei online.kwanza wanatabia zavibomu balaa.Nilienda mbali zaidi na kufanya katafiti kangu nkafanikiwa kummit mmoja na tukahegedana kabisa...
Najiuliza
Serikal kupitia TCRA, haioni haja sasa ya app kama.hizi kutozipa nafasi ikiwa ni sehemu ya kupunguza kasi ya maambukizi hasa kwa vijana?
My take
Ifike mahala mitandao ya kijamii iwe huru kuanzia saa kumi na mbili jioni.

!
! Anko hebu nifundishe kuchati basi. Mzigo nshaudaunload ila mi naona mapichapicha tu.
 
Back
Top Bottom