Mtandao wa Badoo

Mtandao wa Badoo

Watu wana roho mbaya sijwahi kuona yaani yeye kapata hataki mwenzie apate..
MITANZANIA NDIVYO TULIVYO NA NNA HASIRA NA WEWE🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁AAAAAAGHH....!!
 
Kaka ilikua tafiti niweze kuanalyse data zangu isije null hypothesis ikawa accepted... I had to practice
Kumbe ulikuwa una test kati ya Ho na H1 sawa bhana umewleweka, sasa interpretation yako imesemaje kati Ho na H1 ipi imekuwa accepted
 
Habari wana jamvi?
Hivi jamani mmeona laana iliopo Badoo?Yaani mimi nlijua ni app ya kawaida ya kusocialize lakini daaaah[emoji15] salaaaaaleh[emoji86] .
Nilijiunga ikaja option kua nataka kuchat na nani nkaadd "female" age "20-40" yaan tangu ni accept kuna malaya wa kila aina na haogopi kabisa kua wazi kukueleza lakini piakupanga bei online.kwanza wanatabia zavibomu balaa.Nilienda mbali zaidi na kufanya katafiti kangu nkafanikiwa kummit mmoja na tukahegedana kabisa...
Najiuliza
Serikal kupitia TCRA, haioni haja sasa ya app kama.hizi kutozipa nafasi ikiwa ni sehemu ya kupunguza kasi ya maambukizi hasa kwa vijana?
My take
Ifike mahala mitandao ya kijamii iwe huru kuanzia saa kumi na mbili jioni.
Mkuu TCRA wakifungia hizi dating apps mtu kama wewe ungepataje huyo demu sasa?
Au kisha umeshafanikisha kuwala hao totoz?
 
Back
Top Bottom